gTurn
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,329
- 6,797
Uongo Haina dini, hivi Kuna muongo zaidi ya mzayuni na west?Silaha kubwa sana za Waislamu ni Uongo bila huo hamuwezi chochote!!
Uongo Haina dini, hivi Kuna muongo zaidi ya mzayuni na west?Silaha kubwa sana za Waislamu ni Uongo bila huo hamuwezi chochote!!
Waislamu uongo mpaka mmeubatiza kuitwa *TAQIYYAH * Kwenye vita hizi Mmekuwa waongo kupita hata Shetani!!Uongo Haina dini, hivi Kuna muongo zaidi ya mzayuni na west?
Vipi umesikia Trump alivyosema? Kwamba kiongozi mkuu mpya wa Iran ameaga dunia...!!!!Can be old video either!! Hata mimi nina video nying sijazipost na nikipost watu wanaweza kusema ni leo,kumbe nyingine za miaka mitatu nyuma..Tunataka afanye trending kama zamani za kutupa updates na taarifa za vita pamoja na kuongoza strategies za vita kama siku zote
KAsome historia ya IsraelMjomba Una asili ya Israel au unafanya kazi ubalozi wa Israel maana sio kwa upro huo
Jamaa Moja jambo walilonyimwa ni akiliKwani umeelewa kilicho zungumzwa hapo?? 🤔 🤔
Pole sana kama hawakudanganya ayatollah Khomeini kwanini wadanganye BibiIsraeli itadanganya mpaka lini kuwa Netanyau yupo hai? Mambo mangine ni ya kitoto sana. Watu wenye akili kama mimi nangojea nione kama wataweza kuficha hii mimba
Mkuu acha tu nikuache iman yako juu ya wanaisrael imepitilizaKAsome historia ya Israel
Ukielewa itakubadilisha sana kifkra kiakili kimtaxamo juu ya Ulimwengu
Sio watu wa kawaida
Mnateseka sanaMbona kahawa yake haijapungua hata baada ya kuinywa ,hii video sio AI kweli.
Jipe muda usome historia Yao mkuuMkuu acha tu nikuache iman yako juu ya wanaisrael imepitiliza
😂😀😅😛😄🤪🙆♂️🙆♂️🙆♂️I think it is AI shit
Unaijua cappuccino?Mbona kahawa yake haijapungua hata baada ya kuinywa ,hii video sio AI kweli.
Sawa wacha hata afanye post susi tunaimsliza Tela Aviv na yeye atamalizwa ni mda tu. Vitu vinashuka huko sasa hivi kama mda wa dakika 20 zilizo pita waliambiwa ondokeni Yela Aviv mdaa wa masaa 24 tutapiga kipigo hamjawahi kukiona na kila siku kipigo kinakuwa zaidi ya jana yake
View: https://youtube.com/shorts/oIxXfJtSyxo?si=TSwLkssFM4H35iB1
Iran haiwezi kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel AvivNi mtu mjinga tuu angeamini hizo habari zisizo na kichwa wala miguu.
Iran inarusha rusha makombora hovyo sio rahisi kuua kiongozi yoyote mkubwa wa Israel.
Kwamba watu wenye teknolojia kubwa wanaweza tengeneza video ya AI wakafanya hizo silly mistakes za UVCCM😂Wadau wanadai ni AI