Tetesi: Netanyahu kakimba Israel baada ya kusikia Iran itaishambulia Israel

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
48,600
35,532
Wanaukumbi.

ndege ya Waziri Mkuu Netanyahu, Zion Wing, imeondoka Israel usiku wa kuamkia leo.

Hii inafuatia maonyo kutoka kwa washirika wa Marekani na Magharibi kuhusu shambulio linalokuja la Iran linalohusisha makombora ya balistiki, ndege zisizo na rubani na UAV.

Mvutano unaongezeka huku Israel ikikabiliana na ghadhabu ya Iran.



View: https://x.com/marionawfal/status/1841147217366688158?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hata haya huna kwa uwongo kombora linashindwa ua hata mende hilo kombora manati ya kizenji
 
Kidume anapambana na mataifa 4 kwa wakati mmoja ya Lebanon, Syria, Yemen na Iran pamoja na wavamizi wa Palestina.

GOD BLESS ISRAEL
Na sasa manati za punga iran zimetunguliwa zote aisee muajemi bure kabisaa hii tena basi vijimanati hivyo katengenezewa na nchi tatu n.korea, china na russia na bado haziui hata mende
Shoga Iran lina kazi ya kujisifu nimerusha ballistic 150 mimi😂🤣
 
Back
Top Bottom