Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

Baada ya kipondo cha funga mwezi Feb 28,2026 .maadui zetu sasa hivi wanaweweseka na kuropoka maneno kama vichaa kwa kudai mimi nimekufa kwa mashambulio ya Iran hawakuishia hapo wakadai hotuba niliyoitoa ni AI maana nilikuwa na vidole sita kitu ambacho wajinga pekee wanaweza kukiamini.

Napenda kuufahamisha ulimwengu kuwa mimi ni mzima nakunywa kahawa na vidole vyangu vitano kwa mkono wa kulia na wa kushoto kama mnavyoniona.

Adui zetu silaha yao kubwa ni Uongo na Upotoshaji-Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu!! Taarifa hii waione wafuatao;
Adiosamigo gTurn gallow bird zitto junior na wote wanao omboleza kifo cha Gaidi Ayatollah Ali Khamenei
The undisputed king of the middle east Bado yupo sana.
 
Hata hivyo hataishi milele, siku 1 tu ataviacha vyote, hakuna atakayeishi milele
 
Mbona kahawa yake haijapungua hata baada ya kuinywa ,hii video sio AI kweli.
 
Mbona kahawa yake haijapungua hata baada ya kuinywa ,hii video sio AI kweli.
1000369721.jpg
1000369723.jpg
1000369725.jpg
 
Narudia Tena mtandao wa X umejaa mazayuni watupu kwaajili ya propaganda na wAnachoanzisha ni wao wenyewe nakujijibu IRGC hawajawahi kutoa taarifa y kumuua shetani, na wao wanajuA saivi anajificha hizo tarif ni za wahuni tu
 
Kiongozi wa Israel, Benjamin Netanyahu, amemaliza uvumi na nadharia za njama zilizokuwa zikisambaa kuhusu kifo chake kupitia video mpya.

Katika video hiyo yenye maelezo “Wanasema nimefanya nini? Tazama hii…”, kiongozi huyo anaonekana akitania kuhusu uvumi huo. Akiwa katika duka la kahawa, anasema kwa mzaha: “Nimekufa… kwa ajili ya kahawa,” wakati akiagiza kahawa yake.

Pia alijaribu kufanya utani kuhusu madai ya kifo chake akitumia msemo wa kawaida wa Kiebrania unaomaanisha kumpenda kitu sana kiasi cha “mpaka kufa”. Alisema: “Naipenda nchi yangu hadi kufa,” akiongeza kuwa anavutiwa na jinsi wananchi wanavyojiendesha.

Katika video hiyo, Netanyahu anaonyesha vidole vyake vyote 10 mbele ya kamera ili kupinga uvumi uliokuwa ukisambaa mtandaoni—ambao hata ulidaiwa kuthibitishwa na Grok—kwamba mkutano wake wa hivi karibuni ulikuwa umetengenezwa kwa teknolojia ya akili bandia (AI).

Katika ujumbe wake, aliwahimiza Waisraeli watoke majumbani mwao kupata “hewa safi”, lakini wakae karibu na maeneo ya kujikinga (shelters) wakati mashambulizi kutoka Iran yakiongezeka.

Pia aliwahakikishia wananchi kuwa vikwazo vya serikali kuhusu shughuli mbalimbali vitaondolewa haraka iwezekanavyo.

“Uungwaji mkono wenu ni wa ajabu—unanipa nguvu mimi, serikali na jeshi la Israel Defense Forces,” alisema.

Aliongeza: “Tunafanya mambo ambayo siwezi kuyasema sasa, lakini leo pia tunafanya operesheni kali sana nchini Iran na Lebanon.”

Aliwataka wananchi wote kufuata maagizo ya Israel Home Front Command wakati wote.

“Hata viongozi wa nchi wanapaswa kuwa karibu na chumba kilicholindwa. Tutafanya kila tuwezalo,” alisema.

Mwisho wa video, alitania tena akisema: “Asante kwa kahawa. Sijui kuhusu kalori… hii inaonekana hatari kwangu.” ☕😄
 
Narudia Tena mtandao wa X umejaa mazayuni watupu kwaajili ya propaganda na wAnachoanzisha ni wao wenyewe nakujijibu IRGC hawajawahi kutoa taarifa y kumuua shetani, na wao wanajuA saivi anajificha hizo tarif ni za wahuni tu
Silaha kubwa sana za Waislamu ni Uongo bila huo hamuwezi chochote!!
 
Back
Top Bottom