Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

Netanyahu "Bibi" Jioni hii Kapost kwenye Mtandao wa X

Ingekuwa ni Nikweli!!!

Ile picha ya Netanyahu lazima tungeona Media zikishoboka na iyo habari!!

. Sijaona media yoyote ikitangaza. Polen Walokole wa Mgeta!!!

Netanyahu kakufwaaaa!
 
Ingekuwa ni Nikweli!!!

Ile picha ya Netanyahu lazima tungeona Media zikishoboka na iyo habari!!

. Sijaona media yoyote ikitangaza. Polen Walokole wa Mgeta!!!

Netanyahu kakufwaaaa!
 
Kuna asilimia kubwa hii video ni AI na imeunganishwa vipande vya zamani pamoja

Kwenye sehemu Moja ya video inaonekana Netanyahu alitembelea mgahawa huo wa kahawa mnamo tarehe 13-03-2024

Jina la mgahawa ni satafView attachment 3558379 cafe,
angalia hiyo screenshot inaonyesha Tarehe ya risiti,bill😃
Hapohapo mtu gani anakunywa kahawa imejaa vilevile hata haView attachment 3558375ipungui😬😄😄
Kobazi mnahangaika sana Hadi mnatia huruma
20260316_062758.png
Screenshot_20260316-062750.png
 
Hiyo video ai,hata grok imessma ai,ukizoom tarehe japo kaunta ni march 2024,huo mgahawa upo mmoja tu Jerusalem na umefungwa kipindi hiki Cha vita
Kahawa jap kainywa mafunda mawili lakini haipungui
Japo kikombe kimejaa mpaka juu lakini hakuna tone lililodondoka
Hivi ni Kwamba madrasa wanawatoaga ubongo?
Screenshot_20260316-062750.png
FB_IMG_1773601735380.jpg
 
Can be old video either!! Hata mimi nina video nying sijazipost na nikipost watu wanaweza kusema ni leo,kumbe nyingine za miaka mitatu nyuma..Tunataka afanye trending kama zamani za kutupa updates na taarifa za vita pamoja na kuongoza strategies za vita kama siku zote

Can be a new video as well...
 
Hivi nyie taarifa za vita mnazipatia wapi? Mbona Kila siku viongozi wa Israel na US Wana lambishwa mchanga? Hivi mnadhani Kwa mnavyofichwa Kama sio mtu wa kufukunyua huwezi pata. Mnalishana upupu humu
Mbona huleti sasa taarifa zao
 
Hiyo video ai,hata grok imessma ai,ukizoom tarehe japo kaunta ni march 2024,huo mgahawa upo mmoja tu Jerusalem na umefungwa kipindi hiki Cha vita
Kahawa jap kainywa mafunda mawili lakini haipungui
Japo kikombe kimejaa mpaka juu lakini hakuna tone lililodondoka
Ujinga na Upumbavu unawasumbua sana!!

Huko Israel kila kitu kinaenda sawa hakuna duka wala mkahawa uliofungwa kwa sababu ya hii vita watu wanaendelea na kazi zao za kila siku kinyume na unavyodai wewe,

Hivi ukiwa Mwislamu ni lazima uwe Muongo muongo? Maana mnalazimisha Netanyahu afe kwa nguvu!!

Nilishawaambia Netanyahu yupo na ataendelea kuwepo kuwatesa maana wa kumuua Netanyahu bado hajazaliwa!!!

Ujinga na Upumbavu unawasumbua sana mara kahawa haikudondoka,mara kahawa haipungui mara kahawa kanywa mara mbili ujinga unawasumbua.

Ujinga na upumbavu wenu huu hautasimamisha kipondo anachokipata Iran ataendelea kupigwa mpaka achakae tu!!
 

Attachments

  • 1773639384506.mp4
    238.5 KB
  • 1773639369557.mp4
    214.8 KB
  • 1773639350315.mp4
    447.5 KB
Leo ndo nimeamini hakuna kobazi mwenye akili timamu 🚮


Nitajie ww Mlokole Media ipi kubwa imezungumzia iyo habari ya Netanyahu.

Sababu kaongea na kuwasifia Wananchi

yani kaongelea Wananchi manake iyo ni habari !!

lkn Media zipo kimyaaa.

Jambo gumu kwa Kiongozi kama yeye kutotangazwa habari zake!!!!!
 
Confirmed its AI ,hata mkutano wa kamati ya vita kashindwa kuudhuria kwa mara ya kwanza tangu awe pm, kwisha habari yake
 
Kumbe zile story kwamba mchizi kavuta ilikuwa ni uzushi pia


 
Back
Top Bottom