Benjamin "Bibi" Netanyahu (born 21 October 1949) is an Israeli politician, serving as the prime minister of Israel since 2022, having previously held the office in 1996–1999 and 2009–2021. He is chair of the Likud party. Netanyahu is the longest-serving prime minister in Israel's history, having served a total of over 16 years.
Born to secular Jewish parents, Netanyahu was raised in West Jerusalem and the United States. He returned to Israel in 1967 to join the Israel Defense Forces and served in the Sayeret Matkal special forces as a captain before being honorably discharged. After graduating from the Massachusetts Institute of Technology, Netanyahu worked for the Boston Consulting Group and moved back to Israel in 1978 to found the Yonatan Netanyahu Anti-Terror Institute. Between 1984–1988 Netanyahu was Israel's ambassador to the United Nations. Netanyahu rose to prominence after election as chair of Likud in 1993, becoming leader of the opposition. In the 1996 general election, Netanyahu became the first Israeli prime minister elected directly by popular vote, and its youngest. Netanyahu was defeated in the 1999 election and retired from politics, entering the private sector. He returned and served as minister of foreign affairs and finance, initiating economic reforms, before resigning over the Gaza disengagement plan.
Netanyahu returned to lead Likud in 2005 and was leader of the opposition between 2006–2009. After the 2009 legislative election, Netanyahu formed a coalition with other right-wing parties and became prime minister again. He led Likud to victory in the 2013 and 2015 elections. Netanyahu made his closeness to Donald Trump, a friend since the 1980s, central to his appeal from 2016. During Trump's presidency, the US recognized Jerusalem as capital of Israel, Israeli sovereignty over the Golan Heights, and brokered the Abraham Accords, normalization agreements between Israel and the Arab world. Netanyahu has faced criticism over expanding Israeli settlements in the occupied West Bank, deemed illegal under international law. In 2019, Netanyahu was indicted on charges of breach of trust, bribery and fraud, and relinquished all ministerial posts, except prime minister. The 2018–2022 Israeli political crisis led to a rotation agreement between Netanyahu and Benny Gantz. This collapsed in 2020, leading to a March 2021 election. In June 2021, Netanyahu was removed from the premiership, before returning after the 2022 election.
Netanyahu's coalition pursued judicial reform, which met with protests in early 2023. In October 2023, Israel suffered a large-scale attack by Hamas-led Palestinian groups, triggering the Israel–Hamas war. Due to failure to anticipate the attack, Netanyahu has been criticized for presiding over Israel's biggest intelligence failure in 50 years, and faced protests calling for his removal. Netanyahu's government has been accused of genocide, culminating in the South Africa v. Israel case before the International Court of Justice in December 2023. In May 2024, Karim Khan, the prosecutor of the International Criminal Court, announced his intention to apply for an arrest warrant for Netanyahu, and other members of his cabinet, for war crimes and crimes against humanity, as part of the ICC investigation in Palestine.
Kama asemavyo yule myahudi Echolimal ,Hayawi hayawi sasa yamekuwa !
Raisi Donald Trump katika kuchanganyikiwa kwake na kuonesha Marekani si taifa la kulitegemea na kwamba limeisha,ameweka wazi kuwa iwapo Israel inataka kupigana na Iran ni hiyari yake japo na wao watakuwa nyuma yao,lakini kamwe...
Katika mabadiliko makubwa, Mahakama ya Rufaa ya ICC imeegemea upande wa Israel, na kurudisha kesi dhidi ya Netanyahu na Gallant kwenye mahakama ya chini ili kuzingatia kikamilifu pingamizi za mamlaka za Israel.
Uamuzi huo unasimamisha mchakato wa hati ya kukamatwa kwa sasa, na kutilia shaka...
"Ikiwa Iran itatushinda - nchi za Magharibi ndizo zitafuatia.
Baada ya Oct 07,20203 Israeli haitaruhusu tena madhara kwa Wayahudi na wala
Hatutasamehe kwa yeyote aakayejaribu kutushambulia.
Hatutasahau utawala wa Ayatollah lazima uanguke siyo baadaye bali ni Sasa!!.
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu visited northern Gaza on Tuesday, accompanied by the country's defense minister, head of the military and other senior officials, his office said.
A statement released by the prime minister's office said Netanyahu received a security briefing in...
Waziri Mkuu wa Israel Mwamba Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI leo hii kaamua kuwa te Bełda wanajeshi wake walioko huko Gaza aliambatana na Waziri wa Ulinzi wa Israel na Mkuu wa Majeshi wa Israel na kuwatia moyo kwa kuwaambia kuwa wako huko kwa ajili ya kulinda Taifa lao na wako huko ili...
Katika ziara yake nchini Marekani,waziri mkuu wa Israel,Benjamini Netanyahu wameweka mikakati yao ya kuifuta Gaza kwa uwazi kuonesha mataifa yao hayana kificho kwa mpango huo.
Katika mazungumzo yaliyonaswa na waandishi wa habari na kuwekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Trump,raisi huyo amesema...
Netanyahu kama alivyo mwenzake Donald Trump akili zao si za kawaida.Wanajiamini kuwachokoza na kutaka kupigana na kila mtu duniani kwa kujiamini kwa hali ya juu.
Hiyo ni kwa vile Israel kwa sasa imeridhika kuwa waarabu wote ni kama maboya tu.Sasa hivi wamejiamini kuichokonoa Uturuki ambapo hapo...
Hongera sana kwa Hungary kwa hatua hii baada ya kuona utapeli wa ICC.
Yani wameshindwa kuwakamata viongozi wa hamas na hezbollah wanaoanzisha vurugu kila siku eti wanakuja kumkimbizia Netanyahu aliejibu mashambulizi ya uchokozi.
Kama wana hasira sana wakamate bush na blair walioanzisha vita...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amelionya kundi la Hamas kuwa litayapoteza maeneo ya Ukanda wa Gaza iwapo litaendelea kuwashikilia mateka wa Israel badala ya kuwaachia huru. Mamtashi ya Netanyahu yanafuatia yale ya waziri wa ulinzi wa ulinzi, Israel Katz aliyetoa onyo kama hilo siku...
Waziri mkuu wa israel, netanyahu,ameitisha kikao cha kujadili upanuzi wa ushawishi wa uturuki ndani ya syria mpya baada ya Assad
Watawala wapya wa Syria waligeukia msaada wa kiusalama kea uturuki kwa kuitaka ijenge kambo za jeshi na kuziimarisha nchini huku pakiwa na kambo ya kijeshi ya Uturuki...
Tukianza na Donald Trump kuwakilisha mabwanyenye wa Marekani ni kuwa ni waroho sana wa mali kiasi kwamba kila kitu wanataka wakabidhiwe wao ili wawagawie wengine kwa uchoyo na dhulma.
Upande wa Benjamini Netanyahu kama muwakilishi wa mayahudi waliolaaniwa na Mungu wana uroho wa hali ya juu ya...
Nchi kadhaa za kiarabu zilizokubaliana kutoa mabiloni ya dola za kimarekani kuijenga upya Gaza ni kundi la watu waoga sana ambalo Netanyahu na Trump wanalidharau sana.
Siku chache tu tangu azimio la kuijenga upya Gaza likiwa na mchoro mzuri sana kutolewa waziri mkuu wa Israel amerudia kuvunja...
Viongozi wa nchi za kiarabu waliokutana huko Cairo wamesema Gaza itajengwa kwa plani nzuri waliyokwisha kuibuni wakati wapalestina hao wakiwa humo humo ndani.
Raisi Elsisi ambaye mara nyingi ameonekana kama kibaraka mkubwa wa Marekani ameongoza kwa kutoa tamko kali akisema zaidi ya kuijenga...
Siasa za nje za Marekani na misimamo yao ni ya kibaguzi na kigeugeu cha hali ya juu.Rais Zelensky hakulijua hilo aliposhawishiwa afanye chokochoko kwenye mpaka wa Urusi.
Pamoja na ujinga aliokuwa nao Zelensky lakini kwa kumlinganisha na Benjamin Netanyahu basi yeye ni mtu mwema kidogo...
Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich MerzPicha: Volker Hartmann/AFP
Wakati hayo yakiripotiwa, Kansela ajaye wa Ujerumani Friedrich Merz amemwalika Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuitembelea Ujerumani.
Merz amesema atatafuta njia ila kuhakikisha kuwa kiongozi huyo wa Israel...
Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
Bado nasimamia kwamba Trump na Netanyahu wamechanganyikiwa kuhusiana na wapalestina na hasa Hamas. Wanapenda na wangetamani vita vingekwisha na kutangaza ushindi.Jambo hilo ni gumu kwa sasa na Hamas wameganda bado huko Gaza.
Katika nyakati tofauti raisi Trump na mwenzake huyo wametoa matamshi...
Njama dhidi ya Palesina,Gaza na Hamas zimeshindwa vibaya mpaka sasa kiasi kwamba wahusika wakuu kutoka Marekani na Israel wamekuwa wakiropokwa ovyo.
Raisi Trump wiki mbili zilizopita alitoa ya moyoni yaliyokuwa wameyaficha pale aliposema anataka awahamishe wapalestina na kupajenga upya...
Wanaukumbi.
All three Israeli captives were starved because of Israel. Israel controls the borders and the aid going in. It is Israel that imposed starvation on Gaza as a whole.
The irony is that the same Israelis who claimed there was no famine in Gaza and ignored the suffering of Palestinian...
Hawa magaidi wawili wanapanga openly kua wawahamishe watu gaza ili wajenge wachukue wao eneo. Baada ya kuwaua, sasa wanataka kuwaondoa, ila ukweli ni kua watashindwa.
Na ni aibu hasa kwa wanaoshabikia haya yanayowakuta wapalestina.
May cowards get 10 times of suffering of Palestinians, may...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.