Ok! KaribuDar es salaam
Ok! KaribuDar es salaam
Manyanza sasa huyu muwahi kabla hawajakuwahi..!! 😹😹Una miaka mingapi?
Halafu toa hiyo picha Weka nyingine 😃😃😃
😹😹😹 Ngosha em tulia hutaki baadae tupate picha mnato wambea tusebenze nazo jukwaani..!!Naona umeshobokewa sana binti. Full attention mabaharia wanajikanyaga tu. Huko PM sijui kuna hali gani! Ni kawaida hiyo na usijione kuwa we ni spesho sana. Umeikuta JF. Na utaiacha (I hope si kwa aibu!)
Kwa vile wewe ni mkongwe humu na umekuja kwa ID mpya bila shaka unawainjoi tu mabaharia. Kama kweli ni mgeni basi usizuzuke na kushobokewa huku. Kama hujitambui utagongwa humu mpaka uchakae mabaharia wakipasiana tu utafikiri mpira wa kona. Na kamwe usirogwe ukamtumia baharia humu picha zako za uchi. Zitaenea kila mahali.
Kwa ujumla tu kuwa mwangalifu sana. Tafuta binti mwenzio mkongwe aliyejiunga humu miaka ya kuanzia 2015 kurudi nyuma akuambie hekaheka alizopitia humu hasa kama hakuwa mwangalifu. Body count yake ya humu tu inaweza kusoma 20+ 🚮
Kuna vibaka wameshapita nae pm mkuuUnajitahidi 😹😹
Cazee nakusemea kwa wizo 😹😹Ngoja nimkaribishe vizuri
Cazee mbona mi hukunikaribisha hivi mpk nimekua mtukutu..!! 😥😹😹😹Maria karibu sana humu ndani. Kuna kila aina ya watu hivyo ni lazima ujifunze kuwa mtulivu ili kuendana na kila mtu.
Oyaaa 😹😹😹Hapa ulikuwa ukisachi dalili za mimba, Ukimwi au U.T.I 😂
Haya bisha nimekaa pale
Kila mmoja anajimaliza kivyake 😹😹😹Kaka mkubwa mbona kama hii naijua ? Mambo ya kujipakulia minyama ya kutosha katikati ya ubwabwa kimkakati sana🤔
Itafute comment niliyokutag jana sasa. Kuna binti naye nilikuwa najaribu kumtuliza maana mh!😹😹😹 Ngosha em tulia hutaki baadae tupate picha mnato wambea tusebenze nazo jukwaani..!!
Hebu mkaribishe maria selfika tuone vitu buaanna..!! Unafeli wapi ngosha? 😹🤣🤣
Acha kumtisha mrembo mwenye jina la mama wa Jesus 😹😹😹Marry Diana soma hapana uelewe wenzako humu walikuwa na moto kama wewe matokeo yake picha na video za nyuchi zilitembea mnoo 😅😅😅
Ukute ni parody linatuchora tuKila mmoja anajimaliza kivyake 😹😹😹
Wanaume mtafika mmechoka sana, hapa nasoma comments mbavu zinaniuma..!!
Manyanza unaponda kumbe nawe unamtaka maria 😹😹😹Una miaka mingapi bibie ?
Dah😂😂😂😂Jirani unamkanya crush wako kimasta 😹😹😹
Ya kweli hayaNaona umeshobokewa sana binti. Full attention mabaharia wanajikanyaga tu. Huko PM sijui kuna hali gani! Ni kawaida hiyo na usijione kuwa we ni spesho sana. Umeikuta JF. Na utaiacha (I hope si kwa aibu!)
Kwa vile wewe ni mkongwe humu na umekuja kwa ID mpya bila shaka unawainjoi tu mabaharia. Kama kweli ni mgeni basi usizuzuke na kushobokewa huku. Kama hujitambui utagongwa humu mpaka uchakae mabaharia wakipasiana tu utafikiri mpira wa kona. Na kamwe usirogwe ukamtumia baharia humu picha zako za uchi. Zitaenea kila mahali.
Kwa ujumla tu kuwa mwangalifu sana. Tafuta binti mwenzio mkongwe aliyejiunga humu miaka ya kuanzia 2015 kurudi nyuma akuambie hekaheka alizopitia humu hasa kama hakuwa mwangalifu. Body count yake ya humu tu inaweza kusoma 20+ 🚮
Ngosha mbona km hii imetoka moyoni sana..!! 😹😹Nimekuwaje mjukuu? Inaumiza kidogo aisee. Kijana decent anapata pisi humu. Waifu material kabisa. Pengine na ulokole juu. Anaamua kuwa siriazi. Akija kuletewa faili la pisi na mabaharia sasa uwiii! Mpaka na mapicha ya uchi juu. Jamaa wamepasiana hatari. Kama baba wa mabinti 7 wakubwa, hili huwa linaniumiza sana. So ni lazima tuwasisitize hawa mabinti hasa hawa wapya kuwa waangalifu. Kuna vijana siyo wastaarabu humu; na kamwe wasikubali kutuma picha za utupu; na hata kulalwa lalwa hovyo humu mtu anafikisha body count 10+ hapa JF tu 😳. Wanajivunjia heshima sana; and it real pains and saddens me 🙏🏿
Mnataka kufukua makaburi na babu yako udugu 😹😹Gran pah, unayosema ni kweli, ila sasa hato sikiliza had limkute, hapo huko PM wanavyojaa ndo anaona kapatiaa, wacha wapasiane tyuuh.
Ila kuhusu picha za nyuchi, nacheka sana, sijui nakumbuka nn. 😂😂😂😂😂
Nakushauri huyo demu mpige chini 😹😹Dah hiyo aya juu la kimalkia nimeichukua kama ilivyo nimetuma kwa mmoja alikua anazingua hata kupokea simu zangu ,naona katabasamu kasema nimpigie ,jf ni nyumbani kwa vichwa asee
Sina mpango wa kuiomba,wala sijafikiria hilo suala.😹😹😹 Maka group O hatuna kona kona hebu iombe acha kuzunguka mbuyu jinga weehh.!!