min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,051
- 176,673
Asante cha ntu huliwa na ntu 🙏Mmenifanya mpaka nimechelewa breakfast, haya karibuni ❤️❤️
Asante cha ntu huliwa na ntu 🙏Mmenifanya mpaka nimechelewa breakfast, haya karibuni ❤️❤️
Nimekuwaje mjukuu? Inaumiza kidogo aisee. Kijana decent anapata pisi humu. Waifu material kabisa. Pengine na ulokole juu. Anaamua kuwa siriazi. Akija kuletewa faili la pisi na mabaharia sasa uwiii! Mpaka na mapicha ya uchi juu. Jamaa wamepasiana hatari. Kama baba wa mabinti 7 wakubwa, hili huwa linaniumiza sana. So ni lazima tuwasisitize hawa mabinti hasa hawa wapya kuwa waangalifu. Kuna vijana siyo wastaarabu humu; na kamwe wasikubali kutuma picha za utupu; na hata kulalwa lalwa hovyo humu mtu anafikisha body count 10+ hapa JF tu 😳. Wanajivunjia heshima sana; and it real pains and saddens me 🙏🏿Ila gran Pah siku hizi unapiga pale pale panapouma, umebadilka kweli, inaogopesha ujue.
Nimesoma huku nacheka, sijui ninewaza nn yaan.
😂😂😂😂😂😂
Sijui nacheka nn hapa, ila maisha yanapelekesha waja sio kabisa, Lolnimelia sana, mtu mwenye thread ya kwanza kupost tena kasaidiwa na mods halafu analeta maneno mbofu mbofu.
hv kwel?
Sasa maswali gani hayo unaulizaUmesema tukuulize, tunauliza na wewe unauliza?
Asante sana dayan, dah sio kwa ubaya ila nimeanza kushindwa kuishi bila wewe🤔A
Ahaaa sikujua, karibu chai kaka
Acha hayo bwanaaAsante sana dayan, dah sio kwa ubaya ila nimeanza kushindwa kuishi bila wewe🤔
pole sanaMpaka muda huu najuta, nilichotegemea siyo kabisa,watu sijui wapoje
AhsanteKaribu sana
Hapa ulikuwa ukisachi dalili za mimba, Ukimwi au U.T.I 😂
Haya bisha nimekaa pale
Gran pah, unayosema ni kweli, ila sasa hato sikiliza had limkute, hapo huko PM wanavyojaa ndo anaona kapatiaa, wacha wapasiane tyuuh.Nimekuwaje mjukuu? Inaumiza kidogo aisee. Kijana decent anapata pisi humu. Waifu material kabisa. Pengine na ulokole juu. Anaamua kuwa siriazi. Akija kuletewa faili la pisi na mabaharia sasa uwiii! Mpaka na mapicha ya uchi juu. Jamaa wamepasiana hatari. Kama baba wa mabinti 7 wakubwa, hili huwa linaniumiza sana. So ni lazima tuwasisitize hawa mabinti hasa hawa wapya kuwa waangalifu. Kuna vijana siyo wastaarabu humu; na kamwe wasikubali kutuma picha za utupu; na hata kulalwa lalwa hovyo humu mtu anafikisha body count 10+ hapa JF tu 😳. Wanajivunjia heshima sana; and it real pains and saddens me 🙏🏿
we si umesema tukuulize kuhusu lifestyle yako, kwan kunyanduana sio sehemu ya lifestyle?M
Sasa maswali gani hayo unauliza
Situmi picha Kwa yeyoteGran pah, unayosema ni kweli, ila sasa hato sikiliza had limkute, hapo huko PM wanavyojaa ndo anaona kapatiaa, wacha wapasiane tyuuh.
Ila kuhusu picha za nyuchi, nacheka sana, sijui nakumbuka nn. 😂😂😂😂😂
Yapo mengi tofauti na haya mbonawe si umesema tukuulize kuhusu lifestyle yako, kwan kunyanduana sio sehemu ya lifestyle?
Sawa DA marry na iwe hivyo, 😂😂😂😂Situmi picha Kwa yeyote
Ahsante DadaSawa DA marry na iwe hivyo, 😂😂😂😂
Nina kazi na wewe ujue 🤣🤣🤣Muache binti wa watu, aifurahie JF. lol
😂😂😂😂😂
Hebu Piga picha tuione hiyo breakfast kwanza 😋😋😋Mmenifanya mpaka nimechelewa breakfast, haya karibuni ❤️❤️
Naelewa wasiwasi wako , pengine unawaza nitakuwa lizee according na avatar niliyoiweka 😂,, unaonaje tukahamia pm bibie ili tuwe huru zaidi kufahamiana kiundani zaidi.