Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Karibu sana umekosa uhondo mwingi sana ila bado hujachelewa
Chunga Kuna wanaokula tunda kimasihara
 
Itafute comment niliyokutag jana sasa. Kuna binti naye nilikuwa najaribu kumtuliza maana mh!

Picha mnato unataka uone vuzi la kipilipili kama la selfika enzi zile? Siyo poa bana kwa binti kujidhalilisha hivyo. Na Maria naamini ni mkongwe anawazingua tu mabaharia 😂
😹😹😹 Mnataka kufukua makaburi ngosha..!!

Hiyo comment iko wapi? Hebu nitag niione itakua na kitu sio bure 🤣
 
Aisee nimekuwa busy huku site...bwana nimeanza kuweka msingi kwenye kiwanja changu . Sasa hawa mafundi ukiwa jf wanakuibia so nipo makini hapa site.
Niko serious kujenga sita mbususu mpaka nimalize boma langu
Bora ukae mbali malizia mjengo huo mkuu
 
Ngosha mbona km hii imetoka moyoni sana..!! 😹😹
Kuna kitu unajaribu kukifikisha ila kwa kupitia mlango wa pembeni..!!

Kwani na wewe kwenye ile list upo? 😜
Ubaya wako huwaga una kelele. List gani hiyo tena? Na mwanaume hata nikiwa kwenye hiyo list (whatever it is) unafikiri ni big deal?

Read between the lines bana. Sifikishi ujumbe kwa ye yote specific lakini tunajaribu kuwasaidia hawa madogo maana hali ni mbaya. Tusaidiane tuokoe kizazi chetu hasa sisi wazee ni wajibu wetu kuasa na kuonya. Mwenye masikio na asikie maana majuto always huwa ni mjukuu!
 
Back
Top Bottom