Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,419
- 4,111
- Thread starter
- #121
NimekusameheAahh, basi sawa kama hauko hivyo, isamehe akili yangu,kukutafsiri hivyo.
NimekusameheAahh, basi sawa kama hauko hivyo, isamehe akili yangu,kukutafsiri hivyo.
jaman c ndio mwanzo wa kujuanaWeweee sikujui,
Ukinidhuru je?
Analijua jina lako la mwanzo lakini sema suu niseme😇Yaa hela za kutosha roho nzuri, kwanini apate tabu mtoto wa kike wakati nipo.
eh au unaona me naifukuzia apa mzee.Kwamba hapo wewe umeikataa?
nilikuwa natafuta koment kama hii.Kuna Mtu anaenda Kula za uso apa Nyie kaeni kizembe tu
Vipi lakini unatumia telegram?Nimekusamehe
Hakika mkuu, maana washaanza kusema haendani na hadhi yangu kisa muonekano wa kifua chake ni kama mtu aliyechoka kwa kufanya kazi masaa 10 na mawili hadi jua likamzamia totoro.Kweli Tajiri huna baya,shida ni machawa tuu!
There is captain somewhereMimi naitwa Jack sparrow ,je wewe hapo profile ni wewe halisi au ya kuzugia tu bibie?
Mwanangu uliyejibiwa hapa,, ukikaza kidogo tu mambo yanaenda kuwa bambam 😎Weweee sikujui,
Ukinidhuru je?
Karibu maria kwa ushauri na upate uzoefu na kujiadhari na wahuni wa humu mapema zaidi nimewiwa kukutumia namba inbox ili kukusaidia zaidi kama rafiki wa hiari.Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Unaifukuzia kimkakati sana ila wala nyama niwasoma comment tu sisi ni kama tuisila kisinda yule alikua yanga, mbio nyingi hakuna magoli , amini kwamba mkuu.eh au unaona me naifukuzia apa mzee.
Kwa ajili yako wewe nitakuwa hata Jambazi.Weee ni muhuni nishajua
😂😂😂😂😂 🖐🤚 🖐🤚 🖐🤚Analijua jina lako la mwanzo lakini sema suu niseme😇
Una miaka mingapi?Halafu humu sijui mkoje,kwani hatuwezi kuongea mengine hadi mambo ya mapenzi,mnaniboa
cocastic kaka zako tumeambiwa sio watu kabisa, ss ni umbwa siyo Marry Diana?Sitaki kusikia hicho kitu wanaume si watu kabisa ,ila tuache haya uliza mengine
Usihofu mkuu sisi wote ni pride moja wanyama walao nyama.😂😂😂😂😂 🖐🤚 🖐🤚 🖐🤚
Mkuu nakuachia uwanja tusije kutoana roho kisa hiki kishangazi cha kienyeji.