granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,846
- 11,307
kwa hyo unatupangia? kwa nn hukuweka angalizo mapema?Yapo mengi tofauti na haya mbona
kwa hyo unatupangia? kwa nn hukuweka angalizo mapema?Yapo mengi tofauti na haya mbona
Mkuu Marry Diana habari ndugu yangu ,nilikuwa sijajua kama ni mgeni naomba nikueleze ukweli wa hili jamvi .Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Nisamehe miyekwa hyo unatupangia? kwa nn hukuweka angalizo mapema?
Tuchat hapahapaMkuu Marry Diana habari ndugu yangu ,nilikuwa sijajua kama ni mgeni naomba nikueleze ukweli wa hili jamvi .
Watu wananibagua sana mimi nikiandika chochote nachekwa yaani nimenyanyasika mpaka sasa imefika hatua namuachia Mungu ila nashukuru wewe kwakuwa umejiunga .
Naomba uwe rafiki yangu zama PM yangu tuwe tunachati na kuliwazana .
Mimi sio mtundu wa kusema natongoza hapana ila naweza kusema tuwe wapenzi wa kirafiki tu
Karibu pm ndugu yangu
Sawa mkuu ,umeolewa dada ?Tuchat hapahapa
Sijamuuliza mkuu, read between the lineSasa mtu Kaijua jf juzi kati ...unauliza umri....kama ni WA kike ni kama kidakwa Cha kula na chumvi...
Niliolewa, nikaachikaSawa mkuu ,umeolewa dada ?
mambo hayo Marry DianaMkuu Marry Diana habari ndugu yangu ,nilikuwa sijajua kama ni mgeni naomba nikueleze ukweli wa hili jamvi .
Watu wananibagua sana mimi nikiandika chochote nachekwa yaani nimenyanyasika mpaka sasa imefika hatua namuachia Mungu ila nashukuru wewe kwakuwa umejiunga .
Naomba uwe rafiki yangu zama PM yangu tuwe tunachati na kuliwazana .
Mimi sio mtundu wa kusema natongoza hapana ila naweza kusema tuwe wapenzi wa kirafiki tu
Karibu pm ndugu yangu
Abishe 😂
Ndivyo ilivyo kwa wengi humu 😂😂😂😂😂
karibuNisamehe miye
Ipi hiyo maria dayanaAcha tabia mbaya wewe
Playing the victim , huu mfumo matata sana , yani unakabia kwa juu halafu unafanya shambulio la kushtukiza, 🤔Mkuu Marry Diana habari ndugu yangu ,nilikuwa sijajua kama ni mgeni naomba nikueleze ukweli wa hili jamvi .
Watu wananibagua sana mimi nikiandika chochote nachekwa yaani nimenyanyasika mpaka sasa imefika hatua namuachia Mungu ila nashukuru wewe kwakuwa umejiunga .
Naomba uwe rafiki yangu zama PM yangu tuwe tunachati na kuliwazana .
Mimi sio mtundu wa kusema natongoza hapana ila naweza kusema tuwe wapenzi wa kirafiki tu
Karibu pm ndugu yangu
Dah hiyo aya juu la kimalkia nimeichukua kama ilivyo nimetuma kwa mmoja alikua anazingua hata kupokea simu zangu ,naona katabasamu kasema nimpigie ,jf ni nyumbani kwa vichwa aseeYou are the missing piece to my puzzle of happiness. Will you be my lover and complete my world? 😊
LUGHA YA MALKIA IKI KUCHANGANYA,, NIME MAANISHA HIVI 👇🏽
Wewe ndiye kipande kinachokosekana katika fumbo langu la furaha. Je, unaweza kuwa mpenzi wangu na kuikamilisha dunia yangu? 😊
Uelekeo ni Kibra sasa mkuu 😀Dah hiyo aya juu la kimalkia nimeichukua kama ilivyo nimetuma kwa mmoja alikua anazingua hata kupokea simu zangu ,naona katabasamu kasema nimpigie ,jf ni nyumbani kwa vichwa asee
Najua unachokumbuka. Hekaheka za Selfika ama? 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Gran pah, unayosema ni kweli, ila sasa hato sikiliza had limkute, hapo huko PM wanavyojaa ndo anaona kapatiaa, wacha wapasiane tyuuh.
Ila kuhusu picha za nyuchi, nacheka sana, sijui nakumbuka nn. 😂😂😂😂😂
Ahsantekaribu
Kumbuka humu wote wana magari na wote wasomi .Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.