Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Nimekuwaje mjukuu? Inaumiza kidogo aisee. Kijana decent anapata pisi humu. Waifu material kabisa. Pengine na ulokole juu. Anaamua kuwa siriazi. Akija kuletewa faili la pisi na mabaharia sasa uwiii! Mpaka na mapicha ya uchi juu. Jamaa wamepasiana hatari. Kama baba wa mabinti 7 wakubwa, hili huwa linaniumiza sana. So ni lazima tuwasisitize hawa mabinti hasa hawa wapya kuwa waangalifu. Kuna vijana siyo wastaarabu humu; na kamwe wasikubali kutuma picha za utupu; na hata kulalwa lalwa hovyo humu mtu anafikisha body count 10+ hapa JF tu 😳. Wanajivunjia heshima sana; and it real pains and saddens me šŸ™šŸæ
Ukweli mchungu huu mpwa
Ubarikiwe sana
 
Dah hiyo aya juu la kimalkia nimeichukua kama ilivyo nimetuma kwa mmoja alikua anazingua hata kupokea simu zangu ,naona katabasamu kasema nimpigie ,jf ni nyumbani kwa vichwa asee
Katibu katibu katibu nimekuita mara tatu šŸ˜€
 
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforums linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.

Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.

Yote Kwa yote nimependa hii sehemuā¤ļøā¤ļøā¤ļøā¤ļø kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa

Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku

Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Una sura ya ukauzu na komwe juu šŸ˜‚
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom