Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Humu watu wanatumia DP na ID fake. Hivyo wanakuchora tu- kwamba imekuwaje ukaamua kujianika hivyo, wakati si utamaduni wa humu ndani. Au na wewe unatuchora tu humu. Huenda hiyo DP na ID vyote ni fake 🤔
Nimejua hivyo , kwasababu majina mengi ni ya ajabu hata picha zao pia,yaani nawaza niibadilishe picha
 
Woooiiiii.... Kwanza pole ..... Hamkuwa na mafarakano yeyote kabla na hamkuwashirikisha hata wazazi na washenga !?? .... Pole.
Hakukuwa na ugomvi ila kitendo cha kuambiwa mwanaye amefariki kilimuudhi sana
 
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.

Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa

Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku

Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Una mume??
 
Marry Diana kuwa na amani hata kama uliachika mimi Mashamba Makubwa Nalima lakini pia una jina kama la Mama'ke Mama,kwa hiyo tupo compatible. Najua kina mzabzab watakusumbua sana ila wanachotaka ni mbususu tu,tafadhali usikubali. Badala yake nizingatie mimi sina Poor Brain kama wao ,ninachohitaji ni manyoyo tu mbususu nitapata kwingine. Asante my 😋.

Ombi kwa wanaume wote JF, tafadhali Nikifa MkeWangu Asiolewe.
We jamaa wansema ulikua unaumwa ety ndo umetoka kupona juzi juzi hapo...

Ni kweli
 
Back
Top Bottom