Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Humu watu wanatumia DP na ID fake. Hivyo wanakuchora tu- kwamba imekuwaje ukaamua kujianika hivyo, wakati si utamaduni wa humu ndani. Au na wewe unatuchora tu humu. Huenda hiyo DP na ID vyote ni fake 🤔
 
Nilijifungua mtoto,akakaa siku mbili tu akafariki,baada ya hapo nikaambiwa nisirudi kwake na talaka ilitumwa tu
Woooiiiii.... Kwanza pole ..... Hamkuwa na mafarakano yeyote kabla na hamkuwashirikisha hata wazazi na washenga !?? .... Pole
 
Back
Top Bottom