Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Hapana ndiyo lakini katika kugombea jimbo hakuna rafiki wa kweli, kwakuwa wewe ilikuwa mtia nia wa mwanzo kabla yangu acha mimi nijitenge.Usihofu mkuu sisi wote ni pride moja wanyama walao nyama.
Baada ya dakika 90 nitakuja kucheki score board.