Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Maka matraco yako 😹🤣🤣🤣
Ujue we mjinga umenichekesha sana..!!

Wanaume humu wanafki sana mara kibao wanawaponda wadada wanaojibleach cha ajabu wameona avatar ya mtoa post amejikoboa hadi kawa mwekundu lakini wanajigonga..!! 😹😹
Achana kabisa na akili za nyege 😂🤣
Mara nyingi wanawake wenye bleach, hapo hapo kajikoboa, ana viku kwa leg, inaonekana ni wale wadada wa mujini mujini, yaani wanafanya kikojoleo ni biashara official na unofficial, wanacheza ile michezo ya kimariamu biriani, wadangaji etc (sio wote) elewa neno sio wote, lishike hilo, halafu nikukaribishe kwenye paraghaph ya pili.

Mwanaume mara nyingi akikwambia mwanamke huyu, hivi ama vile ujue anazungumzia levo ya kuwa nae, sio levo za upigaji, anaweza kumponda wa bleach kisha siku ikatoea ana kichupa chake na wa bleach kajipendekeza, haachi kuchovya RUNGU KIPEPE.
WANAUME hatueleweki, na inaweza kwenda zaidi ya hapo,
Kuna mwingine unapenda mtu ana tako, ama kipotabo, ama chuchu fulani, ama mtindi, sifa uzipendazo nyingi kuliko hiyo bleach yake, unajikuta huyu unajikuta unapiga KENDE ila kwa washikaji wako wasjlijue wala nini, sasa hili suala refu kidogo

Mie kwa hiyo picha sio pigo zangu KABISAAA, yaani hapo labda niwe na kichupa gani sijui ndio nitiririke nae, lakini hivi tu na akili zangu safi, sina akili za nyege, hapana kwa kweli.
 
Aisee nimekuwa busy huku site...bwana nimeanza kuweka msingi kwenye kiwanja changu . Sasa hawa mafundi ukiwa jf wanakuibia so nipo makini hapa site.
Niko serious kujenga sita mbususu mpaka nimalize boma langu
Lete pesa hiyo tulewe kenge wewe, unajenga chumba sebule mikelele mingi..!! 😹😹😹
 
Ubaya wako huwaga una kelele. List gani hiyo tena? Na mwanaume hata nikiwa kwenye hiyo list (whatever it is) unafikiri ni big deal?

Read between the lines bana. Sifikishi ujumbe kwa ye yote specific lakini tunajaribu kuwasaidia hawa madogo maana hali ni mbaya. Tusaidiane tuokoe kizazi chetu hasa sisi wazee ni wajibu wetu kuasa na kuonya. Mwenye masikio na asikie maana majuto always huwa ni mjukuu!
Aahh ngosha 😹😹😹
Kwahiyo unawaonya? Lakini wanaume nyie si ndo mnaosababisha wadada wawatumie pic za mipododo..!! 🤣

Sema nini, mapenzi upofu huwa linapokolea nazi husikii wala huambiwi lolote unaweza kufanya, shida mkishamwagana ndo chokochoko zinaanza hasa mmoja akikataa kumove on..!!

Kwa bidada kilichotokea ni ex wake kilimuuma baada ya kupigwa chini na mrembo kuamua kurudia koloni lake, akaona njia ya kumuumiza avujishe pics zake..!! 😥
 
Achana kabisa na akili za nyege 😂🤣
Mara nyingi wanawake wenye bleach, hapo hapo kajikoboa, ana viku kwa leg, inaonekana ni wale wadada wa mujini mujini, yaani wanafanya kikojoleo ni biashara official na unofficial, wanacheza ile michezo ya kimariamu biriani, wadangaji etc (sio wote) elewa neno sio wote, lishike hilo, halafu nikukaribishe kwenye paraghaph ya pili.

Mwanaume mara nyingi akikwambia mwanamke huyu, hivi ama vile ujue anazungumzia levo ya kuwa nae, sio levo za upigaji, anaweza kumponda wa bleach kisha siku ikatoea ana kichupa chake na wa bleach kajipendekeza, haachi kuchovya RUNGU KIPEPE.
WANAUME hatueleweki, na inaweza kwenda zaidi ya hapo,
Kuna mwingine unapenda mtu ana tako, ama kipotabo, ama chuchu fulani, ama mtindi, sifa uzipendazo nyingi kuliko hiyo bleach yake, unajikuta huyu unajikuta unapiga KENDE ila kwa washikaji wako wasjlijue wala nini, sasa hili suala refu kidogo

Mie kwa hiyo picha sio pigo zangu KABISAAA, yaani hapo labda niwe na kichupa gani sijui ndio nitiririke nae, lakini hivi tu na akili zangu safi, sina akili za nyege, hapana kwa kweli.
Wewe bhana huaminiki sheikh wangu..!! 😹😹😹
Kwahiyo ana michezo ya mariamu biriani? 🤣
 
Back
Top Bottom