Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.

Yote Kwa yote nimependa hii sehemuā¤ļøā¤ļøā¤ļøā¤ļø kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa

Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku

Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Maria karibu sana humu ndani. Kuna kila aina ya watu hivyo ni lazima ujifunze kuwa mtulivu ili kuendana na kila mtu.
 
Naona umeshobokewa sana. Full attention mabaharia wanajikanyaga tu. Huko PM sijui kuna hali gani!

Kwa vile wewe ni mkongwe humu na umekuja kwa ID mpya bila shaka unawainjoi tu mabaharia. Kama kweli ni mgeni basi usizuzuke na kushobokewa huku. Ukizubaa tu utagongwa humu mpaka uchakae mabaharia wakipasiana tu utafikiri mpira wa kona. Na kamwe usirogwe ukamtumia baharia humu picha zako za uchi. Zitaenea kila mahali. Kwa ujumla tu kuwa mwangalifu sana. Tafuta binti mwenzio mkongwe aliyejiunga humu miaka ya kuanzia 2015 kurudi nyuma akuambie hekaheka alizopitia humu hasa kama hakuwa mwangalifu. Body count ya humu tu inaweza kusoma 20+ 🚮
Kaka mkubwa mbona kama hii naijua ? Mambo ya kujipakulia minyama ya kutosha katikati ya ubwabwa kimkakati sanašŸ¤”
 
Naona umeshobokewa sana binti. Full attention mabaharia wanajikanyaga tu. Huko PM sijui kuna hali gani! Ni kawaida hiyo na usijione kuwa we ni spesho sana.

Kwa vile wewe ni mkongwe humu na umekuja kwa ID mpya bila shaka unawainjoi tu mabaharia. Kama kweli ni mgeni basi usizuzuke na kushobokewa huku. Kama hujitambui utagongwa humu mpaka uchakae mabaharia wakipasiana tu utafikiri mpira wa kona. Na kamwe usirogwe ukamtumia baharia humu picha zako za uchi. Zitaenea kila mahali.

Kwa ujumla tu kuwa mwangalifu sana. Tafuta binti mwenzio mkongwe aliyejiunga humu miaka ya kuanzia 2015 kurudi nyuma akuambie hekaheka alizopitia humu hasa kama hakuwa mwangalifu. Body count ya humu tu inaweza kusoma 20+ 🚮
Marry Diana soma hapana uelewe wenzako humu walikuwa na moto kama wewe matokeo yake picha na video za nyuchi zilitembea mnoo šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
 
Naona umeshobokewa sana binti. Full attention mabaharia wanajikanyaga tu. Huko PM sijui kuna hali gani! Ni kawaida hiyo na usijione kuwa we ni spesho sana.

Kwa vile wewe ni mkongwe humu na umekuja kwa ID mpya bila shaka unawainjoi tu mabaharia. Kama kweli ni mgeni basi usizuzuke na kushobokewa huku. Kama hujitambui utagongwa humu mpaka uchakae mabaharia wakipasiana tu utafikiri mpira wa kona. Na kamwe usirogwe ukamtumia baharia humu picha zako za uchi. Zitaenea kila mahali.

Kwa ujumla tu kuwa mwangalifu sana. Tafuta binti mwenzio mkongwe aliyejiunga humu miaka ya kuanzia 2015 kurudi nyuma akuambie hekaheka alizopitia humu hasa kama hakuwa mwangalifu. Body count ya humu tu inaweza kusoma 20+ 🚮
Ila gran Pah siku hizi unapiga pale pale panapouma, umebadilka kweli, inaogopesha ujue.
Nimesoma huku nacheka, sijui ninewaza nn yaan.
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.

Yote Kwa yote nimependa hii sehemu[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590] kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa

Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku

Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Vipi kuhusu naniliii unaweza?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Upo mkoa gan
Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.

Yote Kwa yote nimependa hii sehemuā¤ļøā¤ļøā¤ļøā¤ļø kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa

Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku

Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
I?
 
Kaka mkubwa mbona kama hii naijua ? Mambo ya kujipakulia minyama ya kutosha katikati ya ubwabwa kimkakati sanašŸ¤”
Mambo ya humu we yasikie tu. Nina mabinti 7 (nimeoza 6 bado mmoja) na kuna wakati huwa napata uchungu na haya mambo. Binti asipojitambua yaani anageuzwa lab na mabaharia wa humu kama Rosa wa kwenye Rosa Mistika. Sipendi!
 
Daah šŸ˜…

Thamani yetu Wanaume ipo kwenye kujitafuta sio ya huyu mleta uzi, anajionhezea thamani halafu akipigwa tukio atakuja kusema Wanaume wa JF ni Mbwa tu. Maana marital status yake inasema ameachika.
Mwanamke akishajiita Ana Maria, happy upendo ,marry Diana na sio jina la baba yake kimbia uvunjike ,kataa ndoa 3:17 soma mpaka mstari wa 21.
 
Back
Top Bottom