Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Nashukuru na nimefurahi kuujua huu mtandao

Hii picha ni yako!? Umekaa kiwadada wa mujini mujini, kama wale wazee wa bleach, vikuku na wenzao wengineo..
Vipi unatumia telegram?
Maka matraco yako 😹🤣🤣🤣
Ujue we mjinga umenichekesha sana..!!

Wanaume humu wanafki sana mara kibao wanawaponda wadada wanaojibleach cha ajabu wameona avatar ya mtoa post amejikoboa hadi kawa mwekundu lakini wanajigonga..!! 😹😹
 
Back
Top Bottom