Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,419
- 4,111
- Thread starter
- #21
Unaomba niniHakuna namna.
Naiomba Mkuu.
Unaomba niniHakuna namna.
Naiomba Mkuu.
Majibu yanakinzana wapiMbona majibu yanakinzana wewe .
Kumbe jirani kabisa. Jiandae tukale dinner leo.Tabata, Dar es salaam
Naitwa Maria Dismass ,ilo Diana ni jina la mamaMimi naitwa Jack sparrow ,je wewe hapo profile ni wewe halisi au ya kuzugia tu bibie?
Ngoja nijitoe kaka, endelezea hapo anakaa Tabata...Kila siku ni nyie tu ,haka ni kangu tripu hii bwashee.
Dinner tena?Kumbe jirani kabisa. Jiandae tukale dinner leo.
😁😁😁😁Huyu sio yule wa ID ya tumbili wa mjini kweli? au basi
Poa naomba unifundishe kujiunga jukwaa la MMUPoa,vipi wewe
Yepi hayo.Sina neno, karibu mzabzab kutia neno lolote, tukijua umri wako basi Poor Brain atakua na machache ya kuzogoa nawe.
Ahsante sanaMarry Diana hujambo? Nakukabidhi kwa mama mtumishi Donatila akukuze kiroho 😊
Mimi sijui nashangaa Mada yangu ipo huku wakati nilipost kwinginePoa naomba unifundishe kujiunga jukwaa la MMU
Ahsante
Usijali sipo unavyofikiriaDada marsha ya huku 99.5 ni uongo!, Kuwa makini kuna member tutakuja inbox tutake mbumbusi yake.... Huku ukiwa maharage ya mbeya utalika mpk k iote visunzu😃😃.
Mengine nakuja Dm nikupe ukweli wa jf.🚶🚶😌