ThibitishaWewe pia yako ni ya kuzugia
😂😂 Sasa kwanini mna majina ya hivi?Karibu sana usishangae majina yetu utakutana na kina Nikifa MkeWangu Asiolewe Mkanganyiko kukanganya Mashamba Makubwa Nalima pia tuna tajiri wetu hapa JF hana baya Tajiri Sina BAYA
Namba yako ni voda au Yas dada🤗Mimi sijui nashangaa Mada yangu ipo huku wakati nilipost kwingine
Umeolewa?Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Namba tena? Wee unataka niniNamba yako ni voda au Yas dada🤗
Sasa na wewe umeweka hadi picha yako utajimwaya mwaya vipi humu wenzako hadi fundi viatu anamzodoa Rais kisa tu jina fake we tunakupa kazi ya kutuletea habari za kina Marioo, jux , diamond hukoMimi sijui nashangaa Mada yangu ipo huku wakati nilipost kwingine
Kama umeolewa au bado ,. Kaka yangu huyo tunataka tufanye jambo mwaka huuNimjibu nini
Nini unataka tujue kuhusu lifestyle yako, weka intro.Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
😁😁 mkuu ngoja nijitoe mimi nimekumbuka mimi ni jobless promax kumbe najisahau sana🤔Ngoja nijitoe kaka, endelezea hapo anakaa Tabata...
Ukweli niliolewa nikaachikaUmeolewa?
Ni single mother?
Una watoto wangapi?
Watoto wako ni wa baba mmoja?
Unashabikia Simba au Yanga?
Wewe ni shabiki wa arsenal? Tujue ni mvumilivu
Umeolewa au wewe ni single mom?Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
Nataka tujuane tuNini unataka tujue kuhusu lifestyle yako, weka intro.
haha kuamua tu uwe makini maana ukikaidi utapigwa2Sasa kwanini mna majina ya hivi?
Kwasasa sina mumeUmeolewa au wewe ni single mom?
Ila wewe😂😂😂haha kuamua tu uwe makini maana ukikaidi utapigwa2
Ukisikia paaah ujue imekukosa , alie lenga Hana shabaha amefanya makosa.Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
🤣🤣🤣🤣 umeolewa?Ndiyo
Hapana