Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,419
- 4,111
- Thread starter
- #101
Mbona hivyo jamani,dah mii siko hivyoHii picha ni yako!? Umekaa kiwadada wa mujini mujini, kama wale wazee wa bleach, vikuku na wenzao wengineo..
Vipi unatumia telegram?
Mbona hivyo jamani,dah mii siko hivyoHii picha ni yako!? Umekaa kiwadada wa mujini mujini, kama wale wazee wa bleach, vikuku na wenzao wengineo..
Vipi unatumia telegram?
Kafika kwa Papaa!Asante mkuu kwa kumtambulisha huyu mgeni kwangu.
Marry Diana
Unaweza kuomba chochote kwangu utakapokuwa na mahitaji yanayohusu fedha.
Aliaga kwenda wapiKuna binti aliaga hapa juzi isijekuwa ni wewe ktk version nyingine.
Siombi. NaiombaUnaomba nini
Karibu mbezi beach upepo unapo vuma.Halafu humu sijui mkoje,kwani hatuwezi kuongea mengine hadi mambo ya mapenzi,mnaniboa
Vipi na mimi ninaweza kuomba chochote kutoka kwako nitakapokuwa na mahitaji yoyote ya kimwili?Ahsante
Katoto kabichi kabisa haka bwasheeAkiwa Me utwambie pia!
AhsanteKaribu mbezi beach upepo unapo vuma.
Kuomba kitu ganiVipi na mimi ninaweza kuomba chochote kutoka kwako nitakapokuwa na mahitaji yoyote ya kimwili?
Yaa hela za kutosha roho nzuri, kwanini apate tabu mtoto wa kike wakati nipo.Kafika kwa Papaa!
Weee ni muhuni nishajuaSiombi. Naiomba
Sasa nimzodoe Rais kisa niniSasa na wewe umeweka hadi picha yako utajimwaya mwaya vipi humu wenzako hadi fundi viatu anamzodoa Rais kisa tu jina fake we tunakupa kazi ya kutuletea habari za kina Marioo, jux , diamond huko
Wivu tuDada marsha ya huku 99.5 ni uongo!, Kuwa makini kuna member tutakuja inbox tutake mbumbusi yake.... Huku ukiwa maharage ya mbeya utalika mpk k iote visunzu😃😃.
Mengine nakuja Dm nikupe ukweli wa jf.🚶🚶😌
Umenikumbusha mbali sana,njuka,salamanda,Mugia, Bazooka,mjusi,form one ilikuwa shida!Mwanangu Extrovert huyu njuka tukukabithi umuonyeshe mitaa ya jf!
Chochote nimesema hata kama jicho.Kuomba kitu gani
Kweli Tajiri huna baya,shida ni machawa tuu!Yaa hela za kutosha roho nzuri, kwanini apate tabu mtoto wa kike wakati nipo.
Aahh, basi sawa kama hauko hivyo, isamehe akili yangu,kukutafsiri hivyo.Mbona hivyo jamani,dah mii siko hivyo
Kwamba hapo wewe umeikataa?Nilicho gundua wanang wa JF mpo vizuri kuiomba
Nisiwe muongeaji sana
Dada mery baadae tukapate chechote kitu pale kazimot tabat segerea au waonaje.