Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,419
- 4,111
- Thread starter
- #81
Nikujibu nini,uliza tenaGagoma kunijibu kabisa ,bila shaka hili ni parody
Nikujibu nini,uliza tenaGagoma kunijibu kabisa ,bila shaka hili ni parody
Kama wanaume sio watu nani atakupea boll?Nikujibu nini,uliza tena
Umesema uliza chochoteHalafu humu sijui mkoje,kwani hatuwezi kuongea mengine hadi mambo ya mapenzi,mnaniboa
Dp yako ndo hiyo?Wala
Sawa karibu Maria.Miaka michache nyuma ilikuwa nikisearch kitu Google,unakuta hili jina jamiiforum linakuja ila sikuwahi kulitilia maanani.
Sasa tangu mwanzoni mwa mwezi wa nne mwaka huu nimesoma visa vingi Sana humu,nimejifunza mengi sana hapa ,hadi nilivyoamua kujiunga juzi japo ilinipa taabu kila nachopost nikawa naambiwa nakiona peke yangu sikujua sababu nini.
Yote Kwa yote nimependa hii sehemu❤️❤️❤️❤️ kuna wenye ushauri mzuri,kuna wenye kukatisha tamaa na wengine wengi ,yapo yenye kufurahisha na kuchekesha na ila yote Kwa yote nimefurahi kuwa hapa
Leo sijaingia job kutokana na homa Niko nyumbani nimelala tu,so nimeona nije nijiliwaze huku
Naitwa Maria niulize chochote kuhusu lifestyle yangu.
NdiyoDp yako ndo hiyo?
AhsanteSawa karibu Maria.
Asante mkuu kwa kumtambulisha huyu mgeni kwangu.Karibu sana usishangae majina yetu utakutana na kina Nikifa MkeWangu Asiolewe
Mkanganyiko kukanganya
Mashamba Makubwa Nalima pia tuna tajiri wetu hapa JF hana baya Tajiri Sina BAYA
Mchango upoLife style yako ina mchango gani kwenye pato la taifa
Safi ,naweza kukupa x au instagram kwa jina gani mrembo?Naitwa Maria Dismass ,ilo Diana ni jina la mama
AhsanteAsante mkuu kwa kumtambulisha huyu mgeni kwangu.
Marry Diana
Unaweza kuomba chochote kwangu utakapokuwa na mahitaji yanayohusu fedha.
Sipo hukoSafi ,naweza kukupa x au instagram kwa jina gani mrembo?
Mapenzi ndio Kila kituHalafu humu sijui mkoje,kwani hatuwezi kuongea mengine hadi mambo ya mapenzi,mnaniboa
Akiwa Me utwambie pia!Kila siku ni nyie tu ,haka ni kangu tripu hii bwashee.
SawaMapenzi ndio Kila kitu