Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Unachosema ni sahihi kiongozi coz hata mi nimeshawasaidia hawa viumbe hawajakamilika kwa kila kitu mkuu. Na sio kwamba nahitaji kuwategemea kwa kila kitu, Laa. Ila kuna baadhi ya vitu nahitaji kufanya nao majadiliano that's why nikaomba msaada.

Nakubaliana na wewe mkuu hawa pia huwa wanahitaji msaada kutoka kwetu pia na tuko katika kusaidiana katika baadhi ya mambo mkuu hawawezi kila kitu hawa kiongozi.

Good to know this, huwa wanakuja mara kwa mara usiku kila ikifika saa tisa naskia harufu nzuri ya udi mkuu. Na mwili huwa unasisimka sana kama vibration flani hivi, heart beats inapanda na mwili hupata joto mpaka jasho linatoka then suddenly napitiwa na usingizi mzito na kujikuta niko sehemu tofauti kabisa nikiwa nafanya mapenzi. Ni mambo mengi mkuu mengine siwezi kuandika hapa.

Namshkuru MUNGU kuwa maswali na wala sinywi pombe, sivuti sigara, sifanyi zinaa. Namtegemea MUNGU kiongozi.

ALHAMDULILLAH.
[/QUOTE]Yaani ufanyi zinaa wakati unafanya mapenzi na majini
Unamwitaji Yesu Kristo ndugu
 
kioo :je huyu jini uliyekutana nae njiani alishawahi kuja nyumbani.

Huyu wa kike sikuwahi kumuelekeza nyumbani na tulipokuwa tumakutana ni mbali na home siku hiyo narudi naambiwa kuna rafiki yako mwanamke mwarabu kavaa baibui juu mpaka chini.

Nikawaambia mbona mi sjawahi kumuelekeza nnapoishi amepajuaje...?. Wakasema labda Jinn huyo. Na ni kweli ilikuwa hivyo mkuu.
 
Mr. Mwifwa huu ndio uzi wangu wa kwanza kusoma page ya kwanza hadi ya mwisho na kila post.. pitia na wewe. Mambo ambayo sikuwahi kutawaza duh!!

Interesting 🙄🙄🙄🙄🙄
 
HAHA HAAAA TANGU JANA USIKU NILIJUA TU KUWA HUU UZI UNALENGO LA KUTANGA BIASHARA ..NANILIKUWA NAJUA KUWA SO CALLED KIOO NDIYE HUYO ANAYEJIITA Mgeni wa Mungu ...
AMEAMUA KUANZISHA HUU UZI KWAKUJUA KUWA KUNA WATU WENGI WANAOSUMBULIWA NA MATATIZO YA MAJINI (MAPEPO ) SO TARGET YAKE NIKUJIFNYA KUWA ANAUFAHAMU MKUBWA WA HAYO MADUDE ILI APATE KUAMINIKA NA WENYE HAYO MATATIZO NA KWAMANTIKI HIYO ATAKUWA AMEPATA WEPESI WAKUWEZA KUWATAPELI ......
Kwa asilimia kubwa maneno yako yanaweza kuwa ni sahihi, kama si kuwapata wenye matatizo ya aina hiyo basi anatangaza hiyo dawa anayosema aliombwa na majini.
Anajua kabisa kuna watu watamfuata kuitaka hiyo dawa ili nao wawapate hao viombezi wa kijini.
 
Mkuu dawa kufanya kaz gan sikupi uhakika mpk ukamuone doctor, huyo aloniomba sikujua anaumwa na nn na hajaniletea mrejesho. Lakn kama una tatz la mambo ya ulimwengu wa majn naweza kukupa idea nn ufanye.
Nisaidie mkuu nina mdogo wangu anatatizo lakuanguka kwasasa kama miezi sita tangu limuanze yaani anaangukatu kama anasukumwa na kitu ilikua nikwa wiki kama mara mbili ila sasa imefikia kwa siku mara hata tatu nimeenda kwawaganga wengi ila wanapambana inapungua nakurudi kwahyo kama kuna dawa iwe nimafuta nk nisaidie tuokoe maisha ya mdogo wetu mkuu maana yupo fom 1 hasomi kwa raha... Asante sana

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Akianguka anapoteza fahamu? Na anaanguka siku gani kwa wiki?
 
Akianguka anapoteza fahamu? Na anaanguka siku gani kwa wiki?
Kwasasa anaanguka karibia kila siku na akianguka hupoteza faham na kuna siku alitoka nje akasema ameona mtu juu ya mti ambao upo hapo nyumbani amesema ameona mmama yupo uchi juu ya mti
 
Nisaidie mkuu nina mdogo wangu anatatizo lakuanguka kwasasa kama miezi sita tangu limuanze yaani anaangukatu kama anasukumwa na kitu ilikua nikwa wiki kama mara mbili ila sasa imefikia kwa siku mara hata tatu nimeenda kwawaganga wengi ila wanapambana inapungua nakurudi kwahyo kama kuna dawa iwe nimafuta nk nisaidie tuokoe maisha ya mdogo wetu mkuu maana yupo fom 1 hasomi kwa raha... Asante sana

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app

Uko wapi mkuu ni PM
 
Yale majini ya kupandisha ni ya ovyo kabisa ni wahuni tu, majini ya kweli hawapandishi
Kiongozi.

Halafu kuna sehemu niliona umegusia UDI.

Sasa hawa wa KUPANDISHA naona wanaendana sana na UDI.

Kwasababu kuna siku tulikuwa tumekusanyika kwa JIRANI zetu walikuwa wanafanya KISOMO.

Sasa si unajua tena kwenye VISOMO mambo ya UBANI ni kitu cha kawaida sana, Sisi tulikuwa SEBULENI na wakina MAMA walikuwa JIKONI, na kama ujuavyo NYUMBA za kisasa JIKONI na SEBULENI ni jirani (hakuna umbali mkubwa).

Ule MOSHI wa UBANI si ndio ukawa umekolea na ukawa unasambaa, basi kule JIKONI si ndio DADA mmoja akaanza KUPANDISHA.

Ilibidi atoke MWANAMME upande wetu aende kwa wakina MAMA kumsaidia yule DADA aliepandisha, yakaanza mambo ya Mshike SIKIO.

Basi yule DADA yaliposhuka na kurudi kwenye Hali yake ya kawaida (alipopata Fahamu) baadae ikabidi aelezee mara nyingi kunapochomwa UBANI basi ujue lazima APANDISHE.

Sasa Kiongozi,

Unaweza niambia hapa kwenye UBANI na UDI kuna siri gani?

Hebu lete DARSA ili nipate kujifunza jambo, na kunufaika kwa ujumla
 
Back
Top Bottom