Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,883
- 2,565
Na hakika ya ibada ifanywayo kwa amri ya jini au shetani haiwi yenye kuridhiwa na Allah.Pia mkuu tambua hayo maruhani au majini si viumbe wa kuendekeza kuwasikiliza kwa kuwa wengi ni waovu na jini mwema hamuingii bin adam, kwa hiyo ukiona mtu yoyote ana hayo maruhani basi ujue yuko katika hatari kubwa ya kupotoshwa na hayo majini, utayaona ni mazuri watakapo kwambia mambo mazuri uyapendayo iko siku utaumwa watakwambia mama yako au baba yako kakuroga! je waonaje hili
Au baada ya wao kukufanyia mambo mazuri ukawakubali wataanza kukuingiza katika ushirikina na kumuasi Allah, jiepushe nao kwa kadri utavyoweza na Allah ndio msaada mkubwa kwako.
This means,umeitekeleza kwa amri ya asiye muumba.