Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Mmmh huu uzi utakuta tunachat na majini,
Mtu atajuaje kama ana au kaingiwa na jini, elezea kwa ufupi tu mkuu....
Tiririka

Mkuu, sio lazma mtu akiingiwa na Jinn ni ukafaham kuwa umeingiwa na Jinn coz Jinn akikuingia si lazma akuletee vurugu au ugonjwa, Laa.

Unaweza ukawa na Jinn na usjijue kama unae ndani ya mwili japokuwa kila binadam anaye Jinn wake aliyeumbiwa nae mkuu.

Thanks.
 
For sure...sijabahatika kuwaona ana kwa ana,lakini najua wapo.
Cha msingi ni kumuhimidi Allah badala ya kuendelea na malumbano yaso na tija.

Wala hatulumbani mkuu tunajaribu kuwekana sawa tu kiongozi.
 
Mkuu, sio lazma mtu akiingiwa na Jinn ni ukafaham kuwa umeingiwa na Jinn coz Jinn akikuingia si lazma akuletee vurugu au ugonjwa, Laa.

Unaweza ukawa na Jinn na usjijue kama unae ndani ya mwili japokuwa kila binadam anaye Jinn wake aliyeumbiwa nae mkuu.

Thanks.
Unanitisha, kila binadamu ana Jinn?
Je mtu ambae hana mpenzi na hapendi sex na kuogopa mtu wa jinsia nyingine aidha wakike au wakiume anaweza kuwa na hivo vitu?
 
Kwenye maandiko tunaambiwa kuwa wanadamu na majini wameumbwa kwa ajili ya kumuabudu MwenyeziMungu.
Sasa tujikite hapo ili tuendelee na yale ya ziada ambayo yanahusiana na maisha tunayoishi.

Unachosema ni sahihi kiongozi tumeumbwa kumuabudu MWENYEZI MUNGU ila haijasemwa ndio muda wote tu tukae tunamuabudu tu wala tusifanye mambo mengine inawezekana mkuu...?

Au umeelewaje hayo maandiko kiongozi...?
 
Unanitisha, kila binadamu ana Jinn?
Je mtu ambae hana mpenzi na hapendi sex na kuogopa mtu wa jinsia nyingine aidha wakike au wakiume anaweza kuwa na hivo vitu?

Kwa kawaida majini wanapenda watu wa aina hiyo coz unakuwa msafi huwa hawapendi kuchangia uchafu na binadam kwenye suala la mapenzi, hawa huitwa Jinn mahaba. Wanaweza wakakufanya usiwe na HISIA KABISA za mapenzi na mume au mke wako.

Ndio, kila mtu ana Jinn mkuu. Ipo mada humu iliwahi kuja kuzungumzia hilo ntakuwekea link uipitie mkuu.

Japo wapo majini ambao wanapenda mtu anapokuwa mchafu tu muda wote kwa mfano mtu unakuwa mlevi tu au mzinifu tu, wapo majini wanasababisha mtu kuwa na hizo hali mkuu.

Thanks.
 
Kwa kawaida majini wanapenda watu wa aina hiyo coz unakuwa msafi huwa hawapendi kuchangia uchafu na binadam kwenye suala la mapenzi, hawa huitwa Jinn mahaba. Wanaweza wakakufanya usiwe na HISIA KABISA za mapenzi na mume au mke wako.

Ndio, kila mtu anajibiwa Jinn mkuu. Ipo mada humu iliwahi kuja kuzungumzia hilo ntakuwekea link uipitie mkuu.

Thanks.
Waiting mkuu!
 
chukua mfupa wa nguruwe ndo mwisho wa kila ktu
 
bismillah.gif

128 وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ
لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ
 
Surat Jinn au nimekosea mkuu?
 
HAHA HAAAA TANGU JANA USIKU NILIJUA TU KUWA HUU UZI UNALENGO LA KUTANGA BIASHARA ..NANILIKUWA NAJUA KUWA SO CALLED KIOO NDIYE HUYO ANAYEJIITA Mgeni wa Mungu ...
AMEAMUA KUANZISHA HUU UZI KWAKUJUA KUWA KUNA WATU WENGI WANAOSUMBULIWA NA MATATIZO YA MAJINI (MAPEPO ) SO TARGET YAKE NIKUJIFNYA KUWA ANAUFAHAMU MKUBWA WA HAYO MADUDE ILI APATE KUAMINIKA NA WENYE HAYO MATATIZO NA KWAMANTIKI HIYO ATAKUWA AMEPATA WEPESI WAKUWEZA KUWATAPELI ......
Nimemstukia kitambo sana nimemshauri amwombe Mungu atamsaidia
 
Samahani mleta mada...naomba kueleweshwa dhumuni la mada hii...unahitaji msaada jinsi ya kutoa hayo majini ama kuna kitu kingine...
 
Back
Top Bottom