Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Ungesema shida yako ungesaidiwa bila ya ruhani. Uusimtegemee jini kukusaidia hata wao wanahitaji msaada.

Nimekwambia hivo kwasababu nishawahi kuombwa dawa na jini. Nilinunua hiyo dawa nikatumia ikabaki akaja akaniomba.

Ikiwa wewe ni mume kuna udi fulani unatoa harufu kali unauzwa ukiuweka ndani lazima majini wa kike watakuja tena anaweza akaja mmoja au zaid inategemea na mazingira unayoishi.lakini wakija wao wanataka sex tu labda ayo mengne
yafatie.

Kwa ufupi mtegemee allah ndio kila kitu usizunguke popote.
 
Maruhani, vinyamkera nk, yani uzao wa shetani au jeshi la ibirisi. Wapo wengi
Kiongozi.

VINYAMKERA si ndio wale wanawajengea VIBANDA vya MAKUTI kisha wanatupia MACHICHA ya nazi, sijui vitu gani.

KUKU hawakosi kwenye vile VIBANDA, utawakuta wanakula vile vitu vilivyotupiwa kwenye VIBANDA
 
Ruhani mmoja, Maruhani ni wengi. Kinyamkera, mwenembago wote ni walewale. Ushauri kwako. Mtafute mpemba aliye karibu nawe atakusaidia

Sio kila mpemba ana Roohan mkuu. Hata Mswahili anaweza kuwa nae tatizo kwa sasa watu wangu wote wenye hao viumbe wapo mbali nami kiongozi.

That's why nikasema niombe msaada kwa mtu mwenye kuweza kunisaidia anisaidie kwa hilo mkuu.

Thanks a lot.
 
Ungesema shida yako ungesaidiwa bila ya ruhani. Uusimtegemee jini kukusaidia hata wao wanahitaji msaada.

Unachosema ni sahihi kiongozi coz hata mi nimeshawasaidia hawa viumbe hawajakamilika kwa kila kitu mkuu. Na sio kwamba nahitaji kuwategemea kwa kila kitu, Laa. Ila kuna baadhi ya vitu nahitaji kufanya nao majadiliano that's why nikaomba msaada.

Nimekwambia hivo kwasababu nishawahi kuombwa dawa na jini. Nilinunua hiyo dawa nikatumia ikabaki akaja akaniomba.

Nakubaliana na wewe mkuu hawa pia huwa wanahitaji msaada kutoka kwetu pia na tuko katika kusaidiana katika baadhi ya mambo mkuu hawawezi kila kitu hawa kiongozi.

Ikiwa wewe ni mume kuna udi fulani unatoa harufu kali unauzwa ukiuweka ndani lazima majini wa kike watakuja tena anaweza akaja mmoja au zaid inategemea na mazingira unayoishi.lakini wakija wao wanataka sex tu labda ayo mengne yafatie.

Good to know this, huwa wanakuja mara kwa mara usiku kila ikifika saa tisa naskia harufu nzuri ya udi mkuu. Na mwili huwa unasisimka sana kama vibration flani hivi, heart beats inapanda na mwili hupata joto mpaka jasho linatoka then suddenly napitiwa na usingizi mzito na kujikuta niko sehemu tofauti kabisa nikiwa nafanya mapenzi. Ni mambo mengi mkuu mengine siwezi kuandika hapa.

Kwa ufupi mtegemee allah ndio kila kitu usizunguke popote.

Namshkuru MUNGU kuwa maswali na wala sinywi pombe, sivuti sigara, sifanyi zinaa. Namtegemea MUNGU kiongozi.

ALHAMDULILLAH.[/QUOTE]
 
Ungesema shida yako ungesaidiwa bila ya ruhani. Uusimtegemee jini kukusaidia hata wao wanahitaji msaada.

Nimekwambia hivo kwasababu nishawahi kuombwa dawa na jini. Nilinunua hiyo dawa nikatumia ikabaki akaja akaniomba.

Ikiwa wewe ni mume kuna udi fulani unatoa harufu kali unauzwa ukiuweka ndani lazima majini wa kike watakuja tena anaweza akaja mmoja au zaid inategemea na mazingira unayoishi.lakini wakija wao wanataka sex tu labda ayo mengne
yafatie.

Kwa ufupi mtegemee allah ndio kila kitu usizunguke popote.
Teh teh teh teh..........

Hii majlis bana
 
Unachosema ni sahihi kiongozi coz hata mi nimeshawasaidia hawa viumbe hawajakamilika kwa kila kitu mkuu. Na sio kwamba nahitaji kuwategemea kwa kila kitu, Laa. Ila kuna baadhi ya vitu nahitaji kufanya nao majadiliano that's why nikaomba msaada.

Nakubaliana na wewe mkuu hawa pia huwa wanahitaji msaada kutoka kwetu pia na tuko katika kusaidiana katika baadhi ya mambo mkuu hawawezi kila kitu hawa kiongozi.

Good to know this, huwa wanakuja mara kwa mara usiku kila ikifika saa tisa naskia harufu nzuri ya udi mkuu. Na mwili huwa unasisimka sana kama vibration flani hivi, heart beats inapanda na mwili hupata joto mpaka jasho linatoka then suddenly napitiwa na usingizi mzito na kujikuta niko sehemu tofauti kabisa nikiwa nafanya mapenzi. Ni mambo mengi mkuu mengine siwezi kuandika hapa.

Namshkuru MUNGU kuwa maswali na wala sinywi pombe, sivuti sigara, sifanyi zinaa. Namtegemea MUNGU kiongozi.

ALHAMDULILLAH.
[/QUOTE]
Mkuu kioo umeridhika kwa kufanya nao mapenzi?
 
Assalaam Alaykum.

Natumai mnaendelea vyema wakuu. Well, kama mada inavyojieleza kuwa nahitaji msaada kutoka kwenu wakuu kwa yoyote mwenye Roohan.

Kama yupo humu jamvini itakuwa vyema au kama yupo unayemfaham anaye si mbaya kama utaniunganisha nae ntashkuru sana.

Napatikana Dar. Natanguliza shukran za dhati kwenu wakuu. Thanks.

Nawasilisha.
Hili usiwaombe Wakristo, hawajui hayo...na hawajalelewa katika kuhusiana wala kushirikiana na hayo.
 
Mkuu kioo umeridhika kwa kufanya nao mapenzi?[/QUOTE]

Kwa nini unauliza hivyo mkuu.

Anyway, hawa viumbe uridhike usiridhike akiamua kufanya mapenzi na wewe atafanya tu mkuu.

Imagine wee unakuwa usingizini unadhani yee atashindwaje kufanya mapenzi na wewe kiongozi...?

Kwenye suala la kuwa macho mnasex mkiwa mnajua kuwa mnasex hapo sawa ila wana njia nyingi wakiamua kusex na wewe hakuna kinachowazuia wao kufanya hivyo mkuu.

Thanks.
 
Kwa nini unauliza hivyo mkuu.

Mkuu ni suala ambalo binafsi linanikera mno.

Inaweza kuwa inakukera ila pia inategemea unafanya nao mapenzi katika hali gani.
 
J
Mkuu kioo umeridhika kwa kufanya nao mapenzi?[/QUOTE]
W
Unachosema ni sahihi kiongozi coz hata mi nimeshawasaidia hawa viumbe hawajakamilika kwa kila kitu mkuu. Na sio kwamba nahitaji kuwategemea kwa kila kitu, Laa. Ila kuna baadhi ya vitu nahitaji kufanya nao majadiliano that's why nikaomba msaada.

Nakubaliana na wewe mkuu hawa pia huwa wanahitaji msaada kutoka kwetu pia na tuko katika kusaidiana katika baadhi ya mambo mkuu hawawezi kila kitu hawa kiongozi.

Good to know this, huwa wanakuja mara kwa mara usiku kila ikifika saa tisa naskia harufu nzuri ya udi mkuu. Na mwili huwa unasisimka sana kama vibration flani hivi, heart beats inapanda na mwili hupata joto mpaka jasho linatoka then suddenly napitiwa na usingizi mzito na kujikuta niko sehemu tofauti kabisa nikiwa nafanya mapenzi. Ni mambo mengi mkuu mengine siwezi kuandika hapa.

Namshkuru MUNGU kuwa maswali na wala sinywi pombe, sivuti sigara, sifanyi zinaa. Namtegemea MUNGU kiongozi.

ALHAMDULILLAH.
[/QUOTE]

Kwanza hao viumbe usikubali kufanya nao mikataba, niliwahi kuchukua peni na karatasi waliniamrisha nifanye hivo nikaandika waliyokua wanataka lakini sikuwa katika hali yangu ya kawaida walikua wameniteka akili. Kiukweli hakuwa mmoja niliporudi kuwa timamu nikaicha karatasi, wameshawah kunipa namba zao kama wawili nimekwenda kutembea wanakokaa chini ya bahari, walikua wakija wananicheka sana na kuniuliza maswali meng sana kuhusu maisha yangu. Niliteseka sana na wakawa wananiambia n sijui kukasirika ndio wanapenda ivo lakin majini hawapendi kuchekewa wanapenda ukizungumza nao uwe siriasi.wanasema ukiwachekea wanakugeukia. Ni big story
 
Kwanza hao viumbe usikubali kufanya nao mikataba, niliwahi kuchukua peni na karatasi waliniamrisha nifanye hivo nikaandika waliyokua wanataka lakini sikuwa katika hali yangu ya kawaida walikua wameniteka akili. Kiukweli hakuwa mmoja niliporudi kuwa timamu nikaicha karatasi

Unachosema ni kweli mkuu.

Hawa viumbe wanaweza wakakufunga akili ukajikuta unafanya vitu tofauti na matakwa yako ila unakuwa nusu unajua unachofanya nusu hujijui kwa nini unafanya hivyo, kwa kifupi wanakufunga mkuu. Ukizinduka ndio unajikuta umefanya kitu flani bila ya kutaka na unaanza kujutia kwa nini nimefanya.

wameshawah kunipa namba zao kama wawili nimekwenda kutembea wanakokaa chini ya bahari, walikua wakija wananicheka sana na kuniuliza maswali meng sana kuhusu maisha yangu. Niliteseka sana na wakawa wananiambia n sijui kukasirika ndio wanapenda ivo lakin majini hawapendi kuchekewa wanapenda ukizungumza nao uwe siriasi.wanasema ukiwachekea wanakugeukia. Ni big story

Dah, pole sana mkuu.

Mi nimepewa namba kwa ajili ya mawasiliano tu ila kwenda kwao sikwenda nikiwa najielewa walinichukua tu nikiwa sijielewi.

Alikuja siku moja na chakula chao toka huko ujinini nikagonga kama kawaida ni story ndefu kama unavyosema mkuu. Acha tu.
 
Back
Top Bottom