Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Kwa manukato nafkiri inaweza kuwa ni sababu ya wao labda kunifata coz bila ya manukato najiona sijakamilika. Nilikuwa najipulizia mwili mzima toka juu mpaka chini na sio aina moja ya manukato nilikuwa nachanganya manukato tofauti tofauti mkuu.

Na nilikuwa napenda sana udi tangu mdogo ikafika muda nikawa nanunua vibox nakaa navyo ndani muda wote sitaki udi ukosekane chumbani.

Mkuu kioo wewe unaonekana unaipendelea iyo hali iendelee na njia za kuwakwepa zipo. Acha ayo mambo ya manukato,udi tafuta mafusho ya harufu mbaya na madawa ya kuoga akuepuke,iyo kazi ifanye angalau miez 3
 
Kwa asilimia kubwa maneno yako yanaweza kuwa ni sahihi, kama si kuwapata wenye matatizo ya aina hiyo basi anatangaza hiyo dawa anayosema aliombwa na majini.
Anajua kabisa kuna watu watamfuata kuitaka hiyo dawa ili nao wawapate hao viombezi wa kijini.

Mkuu dawa ameomba jini binadamu itamfaa ya nini? Au na wewe ni jini unaihitaji? Hapo hakuna biashara iyo dawa haikuelekezwa hata tiba yake.
 
Mkuu kioo wewe unaonekana unaipendelea iyo hali iendelee na njia za kuwakwepa zipo. Acha ayo mambo ya manukato,udi tafuta mafusho ya harufu mbaya na madawa ya kuoga akuepuke,iyo kazi ifanye angalau miez 3

In Shaa Allah tuombeane kheyr tu kiongozi ila nimekuwa nikijaribu sana mara kwa mara ila nimekuwa nashindwa Wallah.
 
Mkuu dawa ameomba jini binadamu itamfaa ya nini? Au na wewe ni jini unaihitaji? Hapo hakuna biashara iyo dawa haikuelekezwa hata tiba yake.

Achana nao hao kiongozi acha watuite waganga acha watuite wachawi it's okay ila ukweli utabaki kuwa ukweli tu na uongo utajitenga daima In Shaa Allah.
 
Nashukuru Mungu kuzaliwa na kujikuta mkristu..

*************

Brother those thing is out of Islam. Hawa watu wana shida kweli na hawataki kuamini kuwa shida zao ni sehemu ya magonjwa ya akili. Na huwezi kuwalazimisha waamini hivyo kwani kinachowatokea wengi wamerithi toka either kwa koo zao au jamii iliyowazunguka.

Ni ukweli usiopingika kuwa jamii ya watu hawa wanaogopa kuomba msaada kutoka kwa wataalamu tiba za kisasa za magojwa ya akili kwakuwa wanadhani wataitwa machizi. Na sio kweli kuwa matatizo haya wanayo waislamu tu wenzetu wakristo wengi wanakimbilia kwenye makanisa haya mapya ambayo kazi yao kutoa mapepo. Na badala ya kwenda hosspitalini wao huhama kutoka kanisa moja hadi jingine baada ya kuona tatizo lao wa magoniwa haya wa wasiwasi yakiendelea.

Hivyo matatizo haya yana asili ndani ya binadamu. wafrika na Waasia wanaongoza. Hii inatokana na imani na tamaduni zao za asili na enzi zinazoendana na uchawi na ushirikina ambapo kwao ni chanzo cha kupata heshima kwa jamii au mapato.

Nachukia kuchafuliwa kwa uislam na imani za kichawi and which is against Islamic values.
 
kioo:Jana nime Ku pm lakini naona kimya nitafute tuongee ki2.

Well, nimeona mkuu.

Ntakupigia tuongee kiongozi thanks for that. Tuko pamoja mkuu.

Thanks.
 
Mkuu kwanza kukamata udi na ubani na kietezo kuanza kuzungumza na hawa viumbe ni njia ya kuanza kuwalea majini. Kisomo ambacho kitasomwa cha kuwaondosha haitakiwe utumike ubani na udi. Udi na ubani unapendwa sana na majini ndi mana kuna wengne wanafukiza kila jumatatu na alhamis kuanzia sa1 jioni.
Ahsante sana Kiongozi.

Nimekubali, uko vizuri.

Nimejifunza jambo/kitu kutoka kwako
 
Upo uzi unaozungumzia kuhusu udi humu jamvini jaribu kuu-search mkuu. Thanks.
Pamoja sana Kiongozi.

Ngoja niingie CHIMBO.

Kiongozi,

Umefanya jambo la maana sana kutuwekea UZI huu, maana sie wengine tunapata kuyafahamu yale ambayo tulikuwa hatuyafahamu kabisa, au kuwekewa sawa yale ambayo tulikuwa hatuna uhakika nayo.

Shukran sana Kiongozi
 
There are many actions contrary to sharee’ah that are done by some of those who treat sickness with ruqyah, even if they are righteous people. The shaytaan finds a way to confuse them and make them do and say things that are haraam.

One of these things that are contrary to sharee’ah is seeking the help of the jinn, whether that is seeking the help of the qareen or anything else. All of that is tricks of the Shaytaan and ways in which he deceives those people.

The scholars of the Standing Committee were asked:

In some cases of sickness which the doctors are unable to treat, we recite over them verses of ruqyah a certain number of times, without it appearing to have any effect on them. But we have discovered a way to make our qareen speak to the qareen of the sick person! By means of which we are able to find out the nature of the sickness, and many cases have been treated in this manner, whereby we ask the sick person to repeat the phrase Bismillaahi awwalahu wa aakhirahu whilst breathing in, then after a while we speak to the qareen.

My question is: what we know about the qareen is very little because there is very little evidence. For example: is he inside the body or outside, how long has he stayed with the sick person (the human)? Is there one qareen with each human, or is it possible for them to alternate every once in a while? Does he stay with the human constantly or does he leave him sometimes and come back to him? On many occasions, he (the qareen) states that he is younger than the sick person.

I sincerely hope that the Shaykh will answer these questions in writing, so that Allaah may benefit the Muslims thereby. Please advise us.

They replied:

Islamically prescribed ruqyah is reciting Soorat al-Faatihah, Aayat al-Kursiy, Soorat al-Ikhlaas,, al-Mi’wadhatyan, verses of Qur’aan, and Prophetic du’aa’s that are proven to be narrated from the Messenger of Allaah (blessings and peace of Allaah be upon him). It is not permissible to seek the help of the jinn which you call the qareen to ask him about the type of disease suffered by the sick person, because seeking the help of the jinn is ascribing partners to Allaah, may He be glorified and exalted. What you have to do is repent to Allaah from that and give up this method, and limit it to the ruqyahs that are prescribed in sharee’ah. May Allaah help us all to do that which pleases Him. And Allaah is the source of strength. May Allaah send blessings and peace upon our Prophet Muhammad and his family and companions. End quote.

Shaykh ‘Abd al-‘Azeez ibn Baaz, Shaykh ‘Abd al-‘Azeez Aal al-Shaykh, Shaykh ‘Abd-Allaah ibn Ghadyaan, Shaykh Saalih al-Fawzaan, Shaykh Bakr Abu Zayd

Fataawa al-Lajnah al-Daa’imah (24/287-289)

They were also asked about seeking the help of the jinn to find out about the evil eye or witchcraft, and also about believing the jinni who is possessing the sick person because of witchcraft and the evil eye, and relying on what he says.

They replied: It is not permissible to seek the help of the jinn to find out about the nature of the problem and the type of remedy with which to treat it, because seeking the help of the jinn is shirk. Allaah says (interpretation of the meaning):

“And verily, there were men among mankind who took shelter with the males among the jinn, but they (jinn) increased them (mankind) in sin and transgression”

[al-Jinn 72:6]

“And on the Day when He will gather them (all) together (and say): ‘O you assembly of jinn! Many did you mislead of men,’ and their Awliyaa’ (friends and helpers) amongst men will say: ‘Our Lord! We benefited one from the other, but now we have reached our appointed term which You did appoint for us.’ He will say: ‘The Fire be your dwelling place, you will dwell therein forever, except as Allaah may will. Certainly your Lord is All‑Wise, All‑Knowing’”

[al-An’aam 6:128]

What is meant by benefiting from one another is that the humans venerated the jinn, submitted to them and sought refuge with them, and the jinn served them by doing what they wanted and bringing to them what they demanded, which included telling them about the type of disease and its causes, things that the jinn can see but not humans. But they may be lying, because they are not trustworthy and it is not permissible to believe them.

And Allaah is the source of strength. May Allaah send blessings and peace upon our Prophet Muhammad and his family and companions. End quote.

Shaykh ‘Abd al-‘Azeez ibn Baaz, Shaykh ‘Abd al-‘Azeez Aal al-Shaykh, Shaykh ‘Abd-Allaah ibn Ghadyaan, Shaykh Saalih al-Fawzaan, Shaykh Bakr Abu Zayd

Fataawa al-Lajnah al-Daa’imah (1/92-93)



And Allaah knows best.
 
Rohan sijui roohan ni nini kama majini wanaowasumbua watu wengine. Na hii mada ni maalumu kuwapiga watu ela. Akili kumbichwa wako japokuwa hivi vitu vipo.
Bwana Mungu ndie mtetezi wangu katika kila shida yangu hata huwafedhehesha na kuwaaibisha maadui zangu,nami nitamsifi yeye siku zote za maisha yangu.
Zaburi 35.
 
J

Mkuu kioo umeridhika kwa kufanya nao mapenzi?
W
[/QUOTE]

Kwanza hao viumbe usikubali kufanya nao mikataba, niliwahi kuchukua peni na karatasi waliniamrisha nifanye hivo nikaandika waliyokua wanataka lakini sikuwa katika hali yangu ya kawaida walikua wameniteka akili. Kiukweli hakuwa mmoja niliporudi kuwa timamu nikaicha karatasi, wameshawah kunipa namba zao kama wawili nimekwenda kutembea wanakokaa chini ya bahari, walikua wakija wananicheka sana na kuniuliza maswali meng sana kuhusu maisha yangu. Niliteseka sana na wakawa wananiambia n sijui kukasirika ndio wanapenda ivo lakin majini hawapendi kuchekewa wanapenda ukizungumza nao uwe siriasi.wanasema ukiwachekea wanakugeukia. Ni big story[/QUOTE]
Aise....
 
Back
Top Bottom