Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,950
- 2,166
Heshima kwenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa letu. Nahitaji msaada wenu wakuu kupitia Ajira Portal kwenye huu mfumo wao wa sasa.
Nashindwa kuelewa nakosea wapi kwenye hii website kila niki-apply naambiwa niangalie academic qualifications kwamba hazi-match na vigezo walivyovitoa kwenye tangazo husika la kazi, kuna interview moja nilishawahi kuitwa ilifanyika Duce ilikuwa ya Tanesco bahati mbaya niliishia written sikufika oral.
Sasa baada ya hapo wakaweka utaratibu wa NIN nimejaza ID number ila tatizo lipo kwenye Academic Qualifications, nikasema nije kuomba msaada kwenu wakuu mnisaidie hili suala ili nijue nakosea wapi wakuu.
Kwa yeyote ambaye ameshafanikiwa kupata kazi kwa mfumo wa huu wa sasa wa Utumishi au hata aliyefanikiwa kuingia written tu anisaidie kujua wapi nakosea ili niweze kurekebisha angalau nami niwe naweza ku-apply inapotokea position wakuu.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu.
AHSANTENI.