Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Asante mkuu.... He kutumia mafuta ya zaituni na masikio kuwaka moto ni dalili nzuri kuwa wanataka kutoka au?


Kuhusu kuacha uovu najitahidi sana jamani... Changamoto zipo ila najitahidi kuziepa.
Tafuta mtu awezaye kusoma ruqya ya kisheria, na Allah akipenda utakuwa huru na hayo matatizo, kwenda kwa waganga wa kishirikina ni kujiongezea matatizo pia utajiweka mbali na muumba wako ambaye ndiye msaada wa pekee kwako kwa kuwa yeye ndiye muumba wa majini na bin adam pamoja ma viumbe wengine wote.
 
Nimeshafanya sana hivyo kiongozi. Kuna siku unajikuta unapitiwa na unalala hivyo hivyo mkuu.

Siamini kama kila siku huwa unalala na udhu na kusoma hizo Surah mkuu. Na ukiamka ukienda chooni usiku ukirudi huwa unatawadha tena...?

Kumbuka kuna majini huwa wana muda maalum, wengine mwanzo wa usiku, wengine katikati ya usiku na wengine ni mwisho wa usiku ndio huwa mida yao.

Na pia, sio usiku tu kuna time unaweza ukajikuta hata mchana umepumzika wakakuingia tu bila shida na usiweze kuwazuia unakubaliana na hata mkuu...?
Kwani uliyatoa wapi hayo majini, ina maana uliyafata mwenyewe?
 
Tafuta mtu awezaye kusoma ruqya ya kisheria, na Allah akipenda utakuwa huru na hayo matatizo, kwenda kwa waganga wa kishirikina ni kujiongezea matatizo pia utajiweka mbali na muumba wako ambaye ndiye msaada wa pekee kwako kwa kuwa yeye ndiye muumba wa majini na bin adam pamoja ma viumbe wengine wote.

Lakini pia kiongozi si kuna sharti za Ruqya mkuu. Au...?
 
Kwani uliyatoa wapi hayo majini, ina maana uliyafata mwenyewe?

Kuna mmoja wa kike alikuja mwenyewe tu. Wa kiume nilishangaa tumekutana tu barabarani tukawa marafiki mpaka kula na kulala tulikuwa tunalala wote.

Wengine waliobaki walikuja wenyewe tu coz walitokea kunipenda mkuu.
 
Ungesema shida yako ungesaidiwa bila ya ruhani. Uusimtegemee jini kukusaidia hata wao wanahitaji msaada.

Nimekwambia hivo kwasababu nishawahi kuombwa dawa na jini. Nilinunua hiyo dawa nikatumia ikabaki akaja akaniomba.

Ikiwa wewe ni mume kuna udi fulani unatoa harufu kali unauzwa ukiuweka ndani lazima majini wa kike watakuja tena anaweza akaja mmoja au zaid inategemea na mazingira unayoishi.lakini wakija wao wanataka sex tu labda ayo mengne
yafatie.

Kwa ufupi mtegemee allah ndio kila kitu usizunguke popote.
acha uwongo basiiii ..geez chai nyingine hzi
 
Unachosema ni sahihi kiongozi coz hata mi nimeshawasaidia hawa viumbe hawajakamilika kwa kila kitu mkuu. Na sio kwamba nahitaji kuwategemea kwa kila kitu, Laa. Ila kuna baadhi ya vitu nahitaji kufanya nao majadiliano that's why nikaomba msaada.



Nakubaliana na wewe mkuu hawa pia huwa wanahitaji msaada kutoka kwetu pia na tuko katika kusaidiana katika baadhi ya mambo mkuu hawawezi kila kitu hawa kiongozi.



Good to know this, huwa wanakuja mara kwa mara usiku kila ikifika saa tisa naskia harufu nzuri ya udi mkuu. Na mwili huwa unasisimka sana kama vibration flani hivi, heart beats inapanda na mwili hupata joto mpaka jasho linatoka then suddenly napitiwa na usingizi mzito na kujikuta niko sehemu tofauti kabisa nikiwa nafanya mapenzi. Ni mambo mengi mkuu mengine siwezi kuandika hapa.



Namshkuru MUNGU kuwa maswali na wala sinywi pombe, sivuti sigara, sifanyi zinaa. Namtegemea MUNGU kiongozi.

ALHAMDULILLAH.
[/QUOTE]
aiseeeee ...mbona mnatulisha matango pori ??
 
Ungesema shida yako ungesaidiwa bila ya ruhani. Uusimtegemee jini kukusaidia hata wao wanahitaji msaada.

Nimekwambia hivo kwasababu nishawahi kuombwa dawa na jini. Nilinunua hiyo dawa nikatumia ikabaki akaja akaniomba.

Ikiwa wewe ni mume kuna udi fulani unatoa harufu kali unauzwa ukiuweka ndani lazima majini wa kike watakuja tena anaweza akaja mmoja au zaid inategemea na mazingira unayoishi.lakini wakija wao wanataka sex tu labda ayo mengne
yafatie.

Kwa ufupi mtegemee allah ndio kila kitu usizunguke popote.
Udi gani huo mkuu nikaununue ninakiu ya kuyakamua hivi viumbe
 
20180301_212708.jpg
dawa hii ndio aliyoniomba jini.
 
Udi gani huo mkuu nikaununue ninakiu ya kuyakamua hivi viumbe

Hahaha huu ni kama udi lakn sio wa kufukiza wanasema unauweka chumban au unaweza ukafulia kwenye nguo ili zitoe harufu nzuri. Una harufu kali sana wanauza 2000 nikiuwona tena nitapiga picha niuweke hapa
 
Back
Top Bottom