MSAADA: Naomba 'link' ya filamu ya Vuta N'Kuvute | Tag of War

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,177
Wakuu heshima kwenu.

Natumai mpo salama kabisa, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada niweze ku-download hiyo movie ya kibongo inaitwa TAG OF WAR mwenye direct link naomba anisaidie tafadhali.

Natanguliza shukran.
 
Niliwahi tafuta na mimi nikakosa....ndio tatizo la mambo ya kibongo hili,ni heri wangeweka utaratibu wa malipo ulipie uipate.
 
Niliwahi tafuta na mimi nikakosa....ndio tatizo la mambo ya kibongo hili,ni heri wangeweka utaratibu wa malipo ulipie uipate.

Kabisa kiongozi halafu ndio movie iliyokuwa nominated mpaka Oscar awards halafu hata kwenye platforms za movie haipo, wabongo shida sana mkuu.
 
Movie ngumu Sana Kupata hata link wabongo wameshindwa kuwekwa

Siamini kabisa kama tupo nyuma kiasi hiki wakati teknolojia ilipofikia hauhitaji kusumbuka na kitu kama movie mtandaoni, labda kama ni movie miaka mingi huko. Ila kwa movies mpya. Sio sahihi kabisa
 
Siamini kabisa kama tupo nyuma kiasi hiki wakati teknolojia ilipofikia hauhitaji kusumbuka na kitu kama movie mtandaoni, labda kama ni movie miaka mingi huko. Ila kwa movies mpya. Sio sahihi kabisa

Wabongo kwenye suala la movies na promotions bado tupo nyuma sana, hiyo movie ni ya muda kidogo tangu itoke, ila mpaka sasa hakuna link yoyote ambayo mtu anaweza akaipata kirahisi.

Only in Tanzania mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom