Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Dah hatari hi nyie ndio wapiga ramli mliolaniwa na mwenyezi Mungu. Manake umenipigia ramli mm kijana ninaejiweza kwa shuhuli zangu unaniingiza kwenye mambo ya uganga. Mungu atakulani na kizazi chako. Kama hukusoma nitakuombea Mungu akupe elimu. Manake sioni sehemu yoyote niliyosifia hawa viumbe au uganga

Mkuu, mijitu mingine ni ya kuiangalia tu wala hakuna sababu ya kuwajibu kiongozi.

Mipumbavu tukibishana nayo nasi tutaonekana hivyo hivyo mkuu. Achana nao sio.

Shwayn Kabisa. Kelbu Waahid.
 
Hapa mkuu tutashindwa kuelewana coz naweza nikakuelewesha lakini tusielewane.

Nadhani uelewa wako unaweza kuwa ni sahihi kabisa kiongozi kuwa majini ni roho tu mkuu.

Ahsante.
mkuu hayo madude naweza sema nayafaham sana,ila hayo yako unakutana nayo njiani sijawahi skia,

naelewa tu yanauwezo kumuingia binadam.
 
mkuu hayo madude naweza sema nayafaham sana,ila hayo yako unakutana nayo njiani sijawahi skia,

naelewa tu yanauwezo kumuingia binadam.

Ndio mana nasema hivi, narudia tena mkuu.

Unavyoyafaham wewe ni hivyo unavyoyafaham kwa hiyo mie hata nikikuelewesha vipi hutakaa uelewe kiongozi.

Ndio mana nashauri uendelee kufahamu hivyo hivyo unavyofaham ndugu.

Hawa viumbe huwezi kukutana nao njiani it's okay mkuu.

Thanks a lot.
 
Lo! Dunia inamengi. Hlf kuna watu wanauthubutu wa ajabu yaani kbs namuita jini mwenyew sjui udi sjui nn

Ni kweli mkuu dunia huwezi kuimaliza ina mengi sana zaidi tuijuavyo aisee.
 
Akili mbovu sana hz inamana mm niipe promo dawa inayouzwa 2500? Bora ubaki kimya pia itakusaidia

Akili nayo huwa inatofautiana katika upeo wa kufikiri kiongozi.

Hapo ndio mwisho wake wa kufikiri mkuu. Ni hatari sana.
 
Ndio mana nasema hivi, narudia tena mkuu.

Unavyoyafaham wewe ni hivyo unavyoyafaham kwa hiyo mie hata nikikuelewesha vipi hutakaa uelewe kiongozi.

Ndio mana nashauri uendelee kufahamu hivyo hivyo unavyofaham ndugu.

Hawa viumbe huwezi kukutana nao njiani it's okay mkuu.

Thanks a lot.
mkuu me sijakupinga kabisa...ila ningetamani kufaham zaidi.

tunaeleweshana tu mkuu,ili tuweze kufaham.
 
mkuu me sijakupinga kabisa...ila ningetamani kufaham zaidi.

tunaeleweshana tu mkuu,ili tuweze kufaham.

Naweza nikakuelewesha ndio ila ntahitaji kutumia nguvu nyingi sana ili akili yako iweze kuelewa kutokana na tayari kuwa imeshajipa uhakika kuwa hiko kitu kipo hivyo ndio kipo hivyo.

Anyway, hawa ni viumbe tu kama tulivyo sisi ndugu yangu wanakula, wanazaa, wanatembea, wengine huruka au kutambaa, wanaishi kama sisi, wana uwezo wa kujibadilisha maumbo mengi tu tofauti likiwemo la binadam na ndio mana unaweza ukakutana nae hata njiani ila sema tu wewe hujabahatika katika kutokewa na hilo mkuu.

Thanks.
 
Mmmh huu uzi utakuta tunachat na majini,
Mtu atajuaje kama ana au kaingiwa na jini, elezea kwa ufupi tu mkuu....
Tiririka
 
Kwenye maandiko tunaambiwa kuwa wanadamu na majini wameumbwa kwa ajili ya kumuabudu MwenyeziMungu.
Sasa tujikite hapo ili tuendelee na yale ya ziada ambayo yanahusiana na maisha tunayoishi.
 
Back
Top Bottom