Mgeni wa Mungu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 1,233
- 1,296
Ndio maana utasikia,
Mshike SIKIO.
Haya Mgeni wa Mungu, sema unataka nini?
Mgeni wa Mungu anaaza, ooh nataka DHAHABU, nataka MKUFU, n.k.
Mimi nimeshashuhudia mara kadhaa Watu WAKIPANDISHA, yaani unastukia MTU kaanguka PUU.
Na anaanza kusema vitu vya ajabu ajabu, mara anatokea MTU na kuanza kusema "Mshike SIKIO"
Anaekuja kushika SIKIO anaanza,
"Haya, nani mwenzangu?, MAKATA wewe" ALIEPANDISHA anaanza kufoka "KHOOO, KHOOO, KHOOO" na kuanza kujibu.
Haya Masuala huwa nashindwa kabisa kuyaelewa
Yale majini ya kupandisha ni ya ovyo kabisa ni wahuni tu, majini ya kweli hawapandishi