KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,249
- 5,963
- Thread starter
- #221
Samahani mleta mada...naomba kueleweshwa dhumuni la mada hii...unahitaji msaada jinsi ya kutoa hayo majini ama kuna kitu kingine...
Mkuu, nimeshahangaika sana katika hilo ila ALLAH akiamua kukupa mtihani kuna vitu vingine vinakuwa IJTIHAAD HAISHINDI QUDRA ndugu yangu. Sitaki kuwataja masheikh niliofika kwao ila elewa kuwa nimeshahangaika katika hilo suala kilichobaki ni FASTA'IYNUU BIS SWABR WAS SWALAAT.
Kuna baadhi ya mambo nahitaji kufanya nao majadiliano ndio mana nikaomba msaada juu ya hilo.
Ahsante.