Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,959
- 2,176
Heshima kwenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa Letu.
Well, nina wadogo zangu wawili wamemaliza form four wamechaguliwa kuingia Chuo wakiwa na ufaulu wa Division III hili suala ni kawaida au inakuaje Wakuu?
Na pia, kama mmoja anataka kusoma A-Level hataki Chuo ni taratibu gani zinafuatwa au haiwezekani?
Na je, kama wanaingia Chuo vipi suala la mkopo kuna uwezekano wa kupata au hakuna?
Naombeni msaada wenu katika hili wakuu. Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu.
Ahsanteni sana.