Nahitaji mtu mwenye roohan anisaidie suala langu tafadhali

Nilisikia kwa mtu na ninataka kuthibitisha kama yanaweza tolewa

Kwa nini usingemuuliza hapo hapo huyo mtu mkuu...?

Ila pia hilo neno vipande ni lugha tu ambayo inaweza kuwa inatumiwa sehemu flani ambapo sehemu nyingine kiumbe huyo huyo wakawa wanamuita kwa jina lingine mkuu.

Na pia elimu ya hawa viumbe ni pana sana kiongozi. Well, alisema hao vipande wapo na sifa gani labda katika maelezo uliyoyasikia mkuu...?

Thanks.
 
Yeye ndio anakuja kufanya mapenzi na mimi coz mara nyingi anapokuja nakuwa sikubaliani nae katika kitendo hiko na hata mie mwenyewe sikipendi ila anajua jinsi gani anavyonifanya mpaka najikuta nikiwa nafanya nae mapenzi mwisho ndio najikuta tayari ameshamaliza haja zake.

Afadhali ya siku hizi amepunguza mkuu zamani kipindi cha nyuma mtu unaweza ukajichafua hata mara 4 kwa usiku mmoja ndugu yangu. Acha niishie hapo mkuu.
*****************

Njoo hapa Muhimbili HOSP kitengo cha psych. Kitengo cha Matatizo ya kichwa. Na wote wanaopabdisha mashetani njooni dawa zipo[/QUOTE]hahahahaha, mkuu una CPZ???
 
Mkuu kioo umeridhika kwa kufanya nao mapenzi?

Kwa nini unauliza hivyo mkuu.

Anyway, hawa viumbe uridhike usiridhike akiamua kufanya mapenzi na wewe atafanya tu mkuu.

Imagine wee unakuwa usingizini unadhani yee atashindwaje kufanya mapenzi na wewe kiongozi...?

Kwenye suala la kuwa macho mnasex mkiwa mnajua kuwa mnasex hapo sawa ila wana njia nyingi wakiamua kusex na wewe hakuna kinachowazuia wao kufanya hivyo mkuu.

Thanks.[/QUOTE]Kwahy Mkuu ukijikuta Mahal unafanya mapnz,je inkuwa reality au imagination tu
 
Dah mkuu utaipata wapi kauli iyo ya kumuuliza maswali hayo, hawa viumbe wanapokuja lazima wanakuzuga japo kidogo ili uwe marizia uwasilize wao tu labda wale ambao muna mipango na mikakati ya kazi.

Niliwahi kuongea nao walipokua wananitesa isee usiombe yakukute. Walikua wananifanya kama toiz. Ila majini hawapendi ukiwa unazungumza nao ukiwa unacheka hawatak kabisa wanapenda sirias. Mm hata kwenye sirias sijui ninacheka tu nilipata mateso sana.

Yani kuna dada ninae kama alikwenda kuwakodi sijui au ni marafiki zake waje kuniadhibu na chanzo cha yote hayo uyo dada wa kijini alinipeleka kwenye nyumba moja kwenda kukaa ambayo ilikua haikai watu ni ya mdogo wangu aliniondosha nyumbani akanishawishi nitoke.Mtiti ulianza nilipoingia kwenye iyo nyumba. Dah haijawah kutokea aliniwekea mashart ya ajabu akaniletea jini mtaalamu wa mambo ya kichwa akaanza kunifanya anavotaka sitak niseme alinifanya nn kwenye kichwa lakn yeye dada akawa yuko pembeni anachezea simu.
Mkuu unakuwa nao physical au imagination
 
Kwa nini unauliza hivyo mkuu.

Anyway, hawa viumbe uridhike usiridhike akiamua kufanya mapenzi na wewe atafanya tu mkuu.

Imagine wee unakuwa usingizini unadhani yee atashindwaje kufanya mapenzi na wewe kiongozi...?

Kwenye suala la kuwa macho mnasex mkiwa mnajua kuwa mnasex hapo sawa ila wana njia nyingi wakiamua kusex na wewe hakuna kinachowazuia wao kufanya hivyo mkuu.

Thanks.
Kwahy Mkuu ukijikuta Mahal unafanya mapnz,je inkuwa reality au imagination tu[/QUOTE]

Wapo na njia kama 3 ambazo mie nazifaham so far. Ya kwanza ni kupitia dream land unajikuta uko na mtu ambaye humjui au unamjua katika hali ya kufanya mapenzi na unajiona kabisa kuwa unasex coz sio kama ndoto ila inakuwa ni tofauti kabisa. Na soon tu unapomaliza ni lazma uamke kipindi umefika kileleni huwezi kuwa umefika kileleni halaf usiamke ni lazma utaamka tu.

Njia ya pili, sjui nikueleweje ili uelewe coz inakuwa uko nusu nusu kwa kila kitu, nikimaanisha kuwa unakuwa nusu kiakili na kimwili pia. Sjui nikueleze vipi uelewe ila kiakili upo kama haupo ila unaona kila kitu na unaskia kila kitu kinachoendelea. Unakuwa na jinn lakini sio ki-imagination ila unakuwa nae na mnaongea mnaskilizana na mnajibishana lakini unakuwa haujalala wala hauko that's why nasema sjui nikuelekezaje ili unielewe vizuri ndugu.

Njia ya tatu ni mnakuwa live kabisa kama upo na binadam mwenzako na kila kitu kinaendelea mkiwa kawaida kabisa ila katika mapenzi kuna wengine wanashindwa kujizuia unakuta anazidiwa mpaka anashindwa kuji-control utakuta anaanza kubadilika na kuanza kutoka viungo vya ajabu mfano manyoya, kucha kuwa ndefu kwa kifupi anabadilika mwili au hata mazingira yanaweza yakawa na mabadiliko kadhaa. Ni vitu vingi ndugu yangu ila kuna wengine mnaweza kusex mpaka mnamalizia aaibadilike akawa kama alivyokuja kibinadamu mpaka anaondoka, wengi wao hawawezi kukaa kwenye la kibinadamu kwa muda mref lazma atabadilika tu kimaumbile. Inategemea jinn na jinn ndugu yangu coz wanatofautiana kwa kiwango kikubwa sana na kila jinn na uwezo wake coz hawafanani kiuwezo wote.

Ni mambo mengi mkuu ila acha tuishie hapa. Thanks.
 
Kwahy Mkuu ukijikuta Mahal unafanya mapnz,je inkuwa reality au imagination tu

Ni mambo mengi mkuu ila acha tuishie hapa. Thanks.[/QUOTE]Asante mkuu
 
Mkuu kioo umeridhika kwa kufanya nao mapenzi?

Kwa nini unauliza hivyo mkuu.

Anyway, hawa viumbe uridhike usiridhike akiamua kufanya mapenzi na wewe atafanya tu mkuu.

Imagine wee unakuwa usingizini unadhani yee atashindwaje kufanya mapenzi na wewe kiongozi...?

Kwenye suala la kuwa macho mnasex mkiwa mnajua kuwa mnasex hapo sawa ila wana njia nyingi wakiamua kusex na wewe hakuna kinachowazuia wao kufanya hivyo mkuu.

Thanks.
[/QUOTE]
Kipo cha kuwazuia nacho ni ibada Ucha Mungu na kukataa hali hio hakuna kiumbe kinaogopa Mungu kama majinn na we ukimuogopa Mungu basi wanakaa mbali nawe, nawakilisha japo post ya 2018
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom