Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
Hicho kielimu chako ndo kimekufanya uachike😀
 
Hicho kielimu chako ndo kimekufanya uachike😀

Hakuna mwanaume anayeoaga ki-elimu, wala hakuna ndoa inayovunjikaga kwa sababu ya ki-elimu.

Pia hakuna binadamu wa kike wala wa kiume anayeamuaga kuingia kwenye mahusiano ili baadae yavunjike

Kinachovunja mahusiano ni tabia kama hiyo yako ya kufanya au kuongea mambo ya kuumiza wengine kwa makusudi bila kujali na bila hata kujua ukweli wa mambo hayo

Mungu akusamehe sana. Halafu mimi sikuachika✌ Stanboy
 
Back
Top Bottom