- Thread starter
- #121
Wakati we ni mke wa mtu kwa imani ya kikriso?? uto.
Kristo unayemuongelea ni yule aliyewekawazi maana ya kuwa mke na mume au?
Wakati we ni mke wa mtu kwa imani ya kikriso?? uto.
daah arooo mkuu unavunja mbavu aiseeAhsante sana kwa kunishirikisha kwenye masuala nyeti kama haya... tatizo kasema hataki mwenye mke wakati mimi na Sky Eclat tumegandishwa na welding ya roho mtakatifu...
Hebu niulizie kama yuko tayari kuwa mchepuko nijiongezee dhambi kisirisiri...
Mwambie elimu yangu ni VETA nimespesholaizi kwenye kudarizi andawea za kike
Vuz litakuwa limeshaanza kuota mvi, we danga tu umalizie uzee ulionao
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Nan atafute matatizo....hahhaha...yaa. Kabisaa...hyo cv yako hapo na majibu yako kwa wadau...huna hofu ya mungu.hahahahah....ni matatizo wadau hapo...usijesema hatukukwambia...
Au kama unataka kwenda pima oil tuu...ahhh fresh...
Yaan dada umeshindwa pata bwana hata dereva wa uber huko mtaan unakuja tafta bwana huku kwa sie watu wa masihara meng.?hahahha
la kazi je?la kukalia lipo
mbona umeshtuka...
Unajua 😂😂😂mbona umeshtuka...
kazi ipila kazi je?
Hechaivi , hepatitis status zako zikoje???
La kutikisa tikisakazi ipi
La kutikisa tikisa
ha ha ha weka kapichaNadhani hakuna asiyekua na cha kutikisa😃😃😃
Hongera ila hujatupa mrejesho kama umepata au wote wanakuona umechezea ujana alafu unatafuta mtu wa kumletea stress zako??
Kweli kabisa umekosa mvuto k
Na wewe hujaacha mume kwa hiari, anayeowa ndo anaacha, anayeolewa huwa anaachwa, nadhani umenielewa nini namaanisha
wa wanaokuona hadi uje kushawishi wasiokuona????
Ngongingo kazi yake kubwa ni kuamsha mshanjamu na kusogeza mashabiki karibu na uwanja. Ni kama kachumbari ya mbilimbili kwenye nyama ya mbuzi ya kuchoma
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
PM Yangu Ipo Wazi Tahadhali Sana Karibu