Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

Ladydii

Member
Dec 17, 2019
83
159
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
 
Hili tatizo linakuwa kila kukicha.....Why?!
 
elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Kweli wanawake mkiamua mnaweza. Hongera, Nitakutafuta
 
Kama kichwa cha habari kisemavyo anatafutwa life partner

Awe mwanaume matured na mtu mzima ki umri kama miaka 40 na kuendelea
Awe stable financially, nikiwa namaanisha awe na uwezo wa kuamua, kupanga na kueteleza mipango ya maisha
Awe mkristo kiimani
Awe either single, mgane au mtalaka... sihitaji mwanaume mwenye mke wake
Haijalishi kiwango chake cha elimu ni lipi ila awe mwanaume tunayeweza kushare mapenzi na kazi

Mimi nina watoto watatu, elimu yangu shahada mbili, umri 43, mjasiriamali na mtalaka

Sihitaji matusi wa kejeli. Kama una vigezo karibu inbox ya mjumbe
kuna wanaume wengi tu wana 40 years na wana ujinga mwingi sana
 
Kuna mwenzenu keshaachwa huku Jasmoni Tegga Asprin mrangi Extrovert

Avaae kiatu ndio anayejua maumivu yake. Kila la heri kwa huyo mwanamke mwenzangu
Cc Lady
Ahsante sana kwa kunishirikisha kwenye masuala nyeti kama haya... tatizo kasema hataki mwenye mke wakati mimi na Sky Eclat tumegandishwa na welding ya roho mtakatifu...

Hebu niulizie kama yuko tayari kuwa mchepuko nijiongezee dhambi kisirisiri...

Mwambie elimu yangu ni VETA nimespesholaizi kwenye kudarizi andawea za kike
 
😂😂😂😂😂
 
Hahaha

😂😂😂😂😂
Mwenye mali keshafika
 
Back
Top Bottom