Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,333
- 14,291
Ngoja nioe mwenye degree mbili nione ana ladha gani???
wacha wee😊😊😊Moyo wangu umekudondokea
Asante sanaaaUnajibu maswali kwa ufasaha sana,you must be very intelligent.
Unaishi wapi?
Unaonekana unaakili mingimingi, very nice to you••ila sasa wanaume wengi wanapenda wawazidi wanawwake zao Kwa kila kitu
Mungu akujalie upate Hitaji la moyo wako though 🙏
Mimi sijui hii post ni ya lini lakini ninachotaka kusema jf lilikuwa jukwaa matured wakati linatoka jambo kuwa jamii na siku kadhaa mbele, sasa hivi si jukwaa la weledi tena ni la watoto wengi sijui au limekumbwa na kadhia ya wingi wa smart phones! Hivyo unaweza kuwa serious umeweka hoja yako lakini wanatokea wa kui personalize utadhani wakati unaiandaa mlikuwa wote au walikupa wao mawazo hayo!
Inafikia mahala jukwaa kutokuaminika kati ya mtoa post na mchangiaji huwezi kujua mkweli nani!
Bamia likisha komaa halifai tena kwa mchuzi labda kwa mlenda ndo linatumika,
Kwa kweli ndoa ni kitu kigumu. Una degree mbili na talaka juu? Nadhani wanaoweza kumudu mikiki Miki ya kwenye ndoa ni std 7 Hadi diploma .huko kwingine unanunua matatizo.
Single maza mmekuwa tatizo alafu huu ujuaji na ukahidi wenu ndio unawaponza kila siku.ungekua na haki ya kuandika ulichoandika kama ningekua nimekulazimisha kuwa na mimi
ila sababu hakuna ukijuacho jinyamazie tuu. hiyo ni heshima
Twenzetu basi PM tukaangalie namna ya kula tunda kimasihara....Kwani umefikiri hivyo vyeti vinaongeza ladha basi? ni vile tuu vinakuelezea lakini sio lolote mapenzini
Anaepumua atafutane mwanamke anaepumua
Hahahahahaaaaa.....Hapo pa kudarizi andawea za kike pamenivunja mbavu...Hahahahaa..Ahsante sana kwa kunishirikisha kwenye masuala nyeti kama haya... tatizo kasema hataki mwenye mke wakati mimi na Sky Eclat tumegandishwa na welding ya roho mtakatifu...
Hebu niulizie kama yuko tayari kuwa mchepuko nijiongezee dhambi kisirisiri...
Mwambie elimu yangu ni VETA nimespesholaizi kwenye kudarizi andawea za kike
Huyu akiwa anasoma chuo kikuu alikuwa ameolewa huko chuoni, wakati huo huo uraiani alikuwa mke mtu mwingine . Amemaliza chuo akakutana na talaka ya mume wa uraiani sasa natafita mume wa tatu uraiani baada ya wawili wa awali kumkataa. Baki na masters yako na watoto watatu tu mama na umrinumesonga mbele na maisha ni magumu. Wengi wetu tunahitaji walio zaliwa 2000- 2003Watoto watatu??,sikubali kubebeshwa limzigo la mtu aseee
Linatakiwa ngongingo la kubembea, kama huna naamini hizo digrii zake watu watazichukulia kama kadi ya kliniki
Nadhani dog style ni moja ya kila kitu, kama hujang'amua hata ukimpata mtu humu atakupiga chini mara mia tena
buza kwa lulenge wanao wanajua kuwa umekosa mume mtaani kwenu hadi ukaamua kuja mitandaoni kuweka tangazo la kutafuta mume??
Hayo ya kuacha tena sio yangu ni yakoKwaiyo unatafuta mwingine ili umuache sio na utafute mwingine tena?? Calm down
Huyu mbabe sana ndo mana alitalikiwa
sijaact bhana. Mimi mwanamkehapo kidoooogo umeact kama mwanamke