Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,798
- 71,218
Asante sana msemaji wa CCM (Maana ndio kazi Shy uitakayo),basi tusubiri tuone maana wahenga walisema "ASIYE FUNZWA NA MAMAYE HUFUNZWA NA ULIMWENGU"Nchi Yetu Ni Huru Na Hawa Cuf Tutapambana Nao Kwa Hoja Na Nguvu Zote Lakini Suala La Muafaka Kwa Sasa Wasahau Tanzania Ina Mengi Ya Kujadili Na Kuyafanyia Kazi Zaidi Ya Huo Muafaka