Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,593
- 17,554
Sometimes inakubidi u_control ego zako.Haaa haaaa teeh teeeeh ngoja nichekee kabisaaaaa,,, "kumbe ndiyo sababu hiyo yko yaa kwanza " inayokufanya unahitaji kujua mishahara yao na sio chochote! ila mi nakuhakikishia wanaohitaji mishahara ya wengine wana lao mfano SIO WANTANZANIA!! Hata Hon. Dr.Magufuli [President] alitoa, ila hakusema kila mtu mshahara wake utajwe alisema tu mtu asipewe zaidi ya 15M hakutaja nani au wapi. Elewa hivyo aisee mbona ni rahisi sana kuelewa!
Mimi sio mleta mada.
Jaribu kusoma my previous comments utaelewa ya kwamba if someone yuko serious kujua mishahara ya wanajeshi ni very easy kama kula mkate. Hata wasiokua na meno wanatufuna