Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Hivi wewe mbna huna kauli nzuri? Kusema kuwa wewe ni mbabe sana au malezi uliyolelewa? Umeshaelekezwa vizuri kuhusu jambo hili kwa nn unaharasi watu kam wewe ndo umeuliza hili swali? Jifunze kuw mpole na mwenye kushinda jazba, zitakugharimu siku za usoni
acha vitisho vya KIBWEGE. hata kama sijauliza swali inaudhi kwa jinsi mnavyotoa majibu ya kibabe na vitisho...eti MSHAHARA wa mwanajeshi ni suala la KIUSALAMA? kwani maadui zetu wakijua kiasi cha mishahara wataivamia nchi kwa lengo wa KUWAPORA wanajeshi mishahara yao? acheni UBWEGE!
 
acha vitisho vya KIBWEGE. hata kama sijauliza swali inaudhi kwa jinsi mnavyotoa majibu ya kibabe na vitisho...eti MSHAHARA wa mwanajeshi ni suala la KIUSALAMA? kwani maadui zetu wakijua kiasi cha mishahara wataivamia nchi kwa lengo wa KUWAPORA wanajeshi mishahara yao? acheni UBWEGE!
Hata Mie namshangaa, hovyooo kweli huyo, keshaona kesho mali yake
 
Sasa njia mojawapo ya kudukua ni hii anajua Watz ni waropokaji sana kwenye social media mtasema tu.
Nimekwambia recently mawasiliano ya kijeshi yalikua yanafanyika through yahoo wakati hacker anayeanza anaweza ku hack yahoo.
Mishahara ya jeshi inapita benki na nimesikia kuna salary slips.
Jamani, acheni kukuza mambo
 
Jeshi linataka uzalendo mkuu. Mshahara ni extra tu. Na ukiwaza mshahara sasa hivi hata hiyo trauning ya mwaka mmoja utakimbia.
uanajeshi ni KAZI kama kazi zingine zinazoingiza kipato...acha mawazo ya kizamani....nyie ndo wale mnaoaminishwa kwamba UALIMU ni WITO ili serikali iendelee kuwanyonya kwa kuwalipa mishahara uchwara....hayo ni mawazo ya KIKOLONI!
 
Nenda pale NGOME nazani utapata majibu ni haki yako kujua lakini sio kwa njia hii..
yeye anataka ajibiwe kwa njia hii...kama huna majibu kama kimya....kwani hiyo NGOME unayomwelekeza yeye hajui ilipo?
 
unataka kujua mshahara ili iwe nini kwako kiwe ndo kigezo cha kwako kujiunga na jeshi au unapeleleza kijanja ujue mshahara wa mmeo au mkeo kuwa anachukua shs ngap? nenda mwenyewe jeshini utapewa data kamili kamuone Rutein Kanari KAHABI NGOME Upanga
kama anataka kujua mshahara wa mumewe au mkewe wewe kinakuuma nini au wewe ndiye mchepuko wa huyo mkewe/mumewe?
 
Ndugu umeishia darasa la ngap?au vidudu ukafeli mtihan wa kuingia chekechea?

Mtu kam ww na hao makolo wenzio hamtakiwi kabisa kuibgia jeshi au sekta yoyote ya ulinzi hapa nchin maana mtatuuza raia km sio kwa pesa bac kwa penz km delila na samson.

Afu kod yako ww ni sh.ngap mpaka ulinganishe na maisha ya mtu aliye jitoa kwa ajili ya wengine???kwanza unatoa kod ww??

Usirudie kutuuliza upaaambafuuu wako humu.
acha upumbaFU na vitisho vyako vya kibwege. kwani hujui kwamba nchi hii ishauzwa? kama huna jibu kaa kimya. usijifanye MZALENDO kuliko mtu yeyote katika nchi hii.
 
Jeshini hawalipi mshahara kwa kufuata elimu yako hiyo ya kiraia...kuna kitu kinaitwa millitary norg.
yeye hajauliza hayo unayosema...yeye anataka kujua mshahara...kama hujui kaa kimya!
 
Kama unahitaji kujua kisha ufanye uamuzi basi kachukue akili zako benki zinapotunzwa hela maana akili zako ndiko ziliko!!
kwani kama huna jibu ukikaa kimya utapoteza nini?
 
Acha kutisha watu buana. Mishahara ya wanajeshi sio siri kiasi hicho. Mishahara hii inapitia benki za kawaida simply that a normal tailer anajua mshahara wa Mwanajeshi.


Nimejaribu kupitia comments mbalimbali nimegundua mambo machache.
Kwanza, wanajeshi wanatambo nyingi huku uraiani so hawataki tujue wanapewa kiasi gani.
Pili, kuna watu wanaamini wanajeshi ni miungu ambao hawajadiliwi which is nonsense
Tatu, watu hawajui kuwa jeshi ni ajira.
Sasa kama bank teller anajua mshahara wa mwanajeshi si umshauri huyo mwenzako aende labda atapata anachotaka.
 
Acha kutisha watu buana. Mishahara ya wanajeshi sio siri kiasi hicho. Mishahara hii inapitia benki za kawaida simply that a normal tailer anajua mshahara wa Mwanajeshi.


Nimejaribu kupitia comments mbalimbali nimegundua mambo machache.
Kwanza, wanajeshi wanatambo nyingi huku uraiani so hawataki tujue wanapewa kiasi gani.
Pili, kuna watu wanaamini wanajeshi ni miungu ambao hawajadiliwi which is nonsense
Tatu, watu hawajui kuwa jeshi ni ajira.
Uelewa wako na uchambuzi umeishia hapo?
 
Jeshini sio sehem ya kutegemea malipo, ni Taasisi iliyoundwa na wenye mioyo ya kijasiri na walio tayari kwa lolote mda wowote, kuhoji malipo jeshini ni moja ya udhaifu wa kukuonyesha kuwa hufai kuwa mwanajeshi, kama huna moyo wa kuhimili mafunzo na mazingira ya kazi (mstuni) hata ungelipwa kiasi gani huwezi kukaa jeshini, hatufuati malipo bali ni kuipenda kazi ya uanajeshi na kujiamini kwa 24/7 kuwa wewe ni rasilimali mhimu yenye kusimamia usalama wa raia wengine iwe usiku, mwituni(jungle), jangwani, majini, usiku au mchana,
Je, kwa hayo yote kama ni malipo asikari angelipwa mamilion mangapi?
NB: jeshi sio Taasisi ya kutoa ajira bali Taasisi ya kimafunzo na ulinzi.
kama jeshini sio mahali pa kutafuta HELA na wale mafisadi waliopiga matrilioni ya shlingi na kuzificha SA walitoka uraiani au unataka kutuaminisha nini? mawazo ya KIKOLONI kama haya nenda kamuambie mkeo.
 
Adui wa tanzania ni ccm,kama obama amri jeshi mkuu wa jeshi la marekani mshahara wake unajulikana isitoshe wadogo walio chini yao
Kuna uhusiano gani kati ya ccm na Obama? Upinzani mwingine ni upuuzi tu
 
Back
Top Bottom