Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

Ya nini kuitana majina? Uhewa kwa uwa na mtazamo tofauti na wako? Hajauliza kiasi rasmi na kama mwananchi kujuwa estimate ya mshahara wa mtumishi wa serikali ni haki yake. Tuepuka kuweka itikadi ya kufanya kila jambo siri maana ndio inapeleka ufisadi baadae. Kujua mshahara wa mtumishi wa umma sio siri ya serikali ambayo inweza kuhatarisha usalama wa nchi.
Hutanielewa. Ngoja Nikuache Maana Humu JF kila mtu mjuaji. Kila la heri.
 
wewe kinakuuma nini? wakiuliza mshahara wako utapungua? mpuuzi mkubwa!

haaa haaaa, we usitoe matusi sema unajua umuhimu wa jeshi ktk nchi ? angalia mf. korea kasikazini na vikwazo vyote vya kiuchumi jeshi lake lnaipatia heshima, utaweza sema toka ktk mtizamo wa ushirikiano ktk mataifa ila hiyo siyo dili kubwa ukilinganisha na uvumbuzi mkubwa unaofanywa na korea kasikazini [north korea]

sasa we kaa hapo endelea kuomba mishahara ya watu utaishia hapo hapo na huyo anayehitaji
 
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;

1. Form six.

2. Shahada moja.

Sababu.
Nina vijana wangu wengi wanaimba tuu kuwa jeshini unapata mshahara mkubwa na maisha ni kitonga baada ya mafunzo.
Kwani nia yao ni kazi au mshahara?
 
haaa haaaa, we usitoe matusi sema unajua umuhimu wa jeshi ktk nchi ? angalia mf. korea kasikazini na vikwazo vyote vya kiuchumi jeshi lake lnaipatia heshima, utaweza sema toka ktk mtizamo wa ushirikiano ktk mataifa ila hiyo siyo dili kubwa ukilinganisha na uvumbuzi mkubwa unaofanywa na korea kasikazini [north korea]

sasa we kaa hapo endelea kuomba mishahara ya watu utaishia hapo hapo na huyo anayehitaji
Hata katika usaili, mtu ambaye anauliza maswali ya aina hii [eti mshahara bei gani] hafai kuwa askari wa nchi. hafai
 
wewe uelewa wako ni mdogo sana. mambo hayo alipaswa aende Makao Makuu ya Jeshi pale Ngome na aulize maswali yake huko. Nasisitiza, kama kuna mtu amemwambia PM na amempa taarifa hizo huko chemba basi ajue kwamba amevunja sheria za nchi na anaweza kufikishwa mahakamani maana hata uki PM utaonwa tu na wenye majukumu yao. taarifa za vyombo vya ulinzi na usalama hazitolewi katika utaratibu huo. You have been warned.
kwani ameuliza idadi ya vifaru na ndege za jeshi zinazofanya kazi? acha vitisho vyako vya KILEVI...mshahara sio suala la kiusalama...ndio maana huwa inatangazwa hadharani. .. hata magufuli anaitamka hadharani. kama hujui kitu kaaa kimya MLEVI mkubwa.
 
haaa haaaa, we usitoe matusi sema unajua umuhimu wa jeshi ktk nchi ? angalia mf. korea kasikazini na vikwazo vyote vya kiuchumi jeshi lake lnaipatia heshima, utaweza sema toka ktk mtizamo wa ushirikiano ktk mataifa ila hiyo siyo dili kubwa ukilinganisha na uvumbuzi mkubwa unaofanywa na korea kasikazini [north korea]

sasa we kaa hapo endelea kuomba mishahara ya watu utaishia hapo hapo na huyo anayehitaji
mdau kauliza kuhusu MSHAHARA, hajauliza suala lolote linalohusu USALAMA WA NCHI (hajauliza juu ya idadi ya VIFARU na NEDGE ZA KIJESHI). hebu tuambie mshahara wa mwanajeshi unahusikaje na USALAMA WA NCHI. acha kupayuka kama kinda la ndege linalotarajia kupokea chakula kutoka kwa mamaye.
 
mshahara ndio kitu cha kwanza....kama hujali mshahara ni wewe na familia yako...waache watu waulize maswali...acha vitisho vyako vya kipumbaFU.
Unaniita mi mpumbavu? Hujui kujibu hoja bila matusi? Wazoee wenye level zako mkuu kwa heshima mi Siwezi nikabishana na wewe ambaye mambo unayapeleka kienyeji utadhani jeshini ni tempo ya kufundisha, kila Taasisi ina miiko yake, sio kila sehemu utatajiwa mshahara, jeshi hatuiti ajira ni kujitolea kwa uzalendo na kulinda taifa,

Ila naomba tafadhali usirudie tena kunitusi maana hatufahamiani pia hakukuwa na ulazima wa kufanya hivyo, ukikataa kueleweshwa humu nenda ngerengere 92kj uulize malipo, utaeleweshwa na salary slip utaonyeshwa, ni wakarim mno hujapata kuona.
 
Yani huyo kijana ambaye anaingia jeshini kufata mishahara hafai kabisa kuwa askari. Hafai kabisa, hawa ndio ambao wanaosaliti nchi kwa kununuliwa,

By the way acha kuuliza mishahara ya watu.[emoji378]
haulizi MISHAHARA YA WATU bali anauliza MSHAHARA WAKE atakaolipwa pindi akijiunga jeshi. wewe kinakuuma nini? mijitu mipuuzi kama wewe ndio mnaorudisha nyuma maendeleo ya nchi.
 
Mkuu,unatakiwa kujifunza kuwa jeshi sio kikundi cha wasaidizi Wa kazi za ndani..hii ni taasisi nyingine kabisa ndio maana hata sheria za kazi haziwahusu
Pia jeshi ni taasisi unayoenda kujiunga kwa uzalendo wako na si kuangalia tumbo lako,,hayo mengine ni baadae!!
hayo ni yako...mdau anataka kujua mshahara...kama hujui kaa kimya!
 
Jeshi linataka uzalendo mkuu. Mshahara ni extra tu. Na ukiwaza mshahara sasa hivi hata hiyo trauning ya mwaka mmoja utakimbia.
 
wewe mpuuzi nini? humu jf kuna wanajeshi na tayari wameishmuambia PM...wewe shida yako ni nini? kama hujui jambo kaa kimya kuliko kuonyesha upumbaFU wako hadharani. wewe ulitaka akaulize wapi? acha upuuzi wako.
Kwani hao marafiki zake waliomuambia kwa nini ajawauliza? Au anashindwaje kwenda kambi za Jeshi kuuliza?
 
hayo ni yako...mdau anataka kujua mshahara...kama hujui kaa kimya!
Hivi wewe mbna huna kauli nzuri? Kusema kuwa wewe ni mbabe sana au malezi uliyolelewa? Umeshaelekezwa vizuri kuhusu jambo hili kwa nn unaharasi watu kam wewe ndo umeuliza hili swali? Jifunze kuw mpole na mwenye kushinda jazba, zitakugharimu siku za usoni
 
haulizi MISHAHARA YA WATU bali anauliza MSHAHARA WAKE atakaolipwa pindi akijiunga jeshi. wewe kinakuuma nini? mijitu mipuuzi kama wewe ndio mnaorudisha nyuma maendeleo ya nchi.
Hasa mshahara wake anatuuliza sisi??

Kwa hiyo akijibiwa hapa ndo maendeleo mbele...,!!!!
 
Yani huyo kijana ambaye anaingia jeshini kufata mishahara hafai kabisa kuwa askari. Hafai kabisa, hawa ndio ambao wanaosaliti nchi kwa kununuliwa,

By the way acha kuuliza mishahara ya watu.[emoji378]
Unachosema siyo kweli kiuhalisia,hakuna aliyetayari kufanya kazi bila maslahi,hata wewe unasema tu kwa maneno lakini moyoni hakuna ukwel wowote,tusidanganyane hapa,jeshi la Uzalendo lilikuwa zamani na siyo la sasa
 
Hivi wew thaman ya uhai wa mtu unaweza linganishwa na kiasi cha pesa??
 
Back
Top Bottom