Nasikia kaongezewa stress za wateja hewaInatosha kabisa.
Kilo 3 za nyama.
Wewe kwenye biashara yako umeongezewa ngapi?
Nasikia kaongezewa stress za wateja hewaInatosha kabisa.
Kilo 3 za nyama.
Wewe kwenye biashara yako umeongezewa ngapi?
Kwan kuna bank wamecheka?...CRDB bado
Mpo Dodoma ?Wiki yetu wiki yetu
Kuna watu wamesema humu. Au wanacheza na akili zetu.Kwan kuna bank wamecheka?...
Wazo zuriWazee juzi kati nilienda seminar Fulani ya investment, hasa mambo ya UTT na hisa.
Nimepata madini ambayo nilichelewa kuyajua.
Kama unaweza kukopa kopa pesa zote kaweke kwenye liquid fund ya UTT Kwa muda wa miaka uliyokopea. Mfano ukikopa miaka kumi, hakikisha kiasi chote unakiweka huko na ku-reinvest riba.
Kwa mkopo wa say milioni 50. Kwa miaka kumi utapata 155M. Kule benki utakatwa kama 98M.
Akianan tunakufaLeo ni uongo labda kama hamna nyongeza
Ngoja pesa iingie tukifirie biashara mkuu. Asante kwa kutusanua.Watumwa wote wako humu hela ikisoma tu wanatelekeza uzi. Fanyeni biashara mtakufa na stress pimbi nyie.
Wapuuzwe.Kuna watu wamesema humu. Au wanacheza na akili zetu.
Biashara hatufanyi , hatupendi mambo ya kusadikika ..Hakuna mtu alipozaliwa aliiambiwa afanye biashara ,msitupelekeshe mawinga mna tabu sana..Watumwa wote wako humu hela ikisoma tu wanatelekeza uzi. Fanyeni biashara mtakufa na stress pimbi nyie.
Kwani siku 15 zote kufanya changes za mshahara hazikutosha?Leo ni uongo labda kama hamna nyongeza
Humu kuna wakubwa ,taarifa zinafika mapema ndugu ...Hizo nyongeza kama ingekuwa tayari ,nina hakika ungejua tu ,yule jamaa wa uzi wa 90k alishtua hisia ili apate majibu .Kwani siku 15 zote kufanya changes za mshahara hazikutosha?
Unadhani leo ndio wanalipa mshahara?
Mshahara unaingizwa wiki moja mpaka mpaka mbili kabla ya siku ya mshahara.
Na siku ya mshahara kinachofanyika ni kubofya tu
Mama angetulia angalau siku tano mbeleKwani siku 15 zote kufanya changes za mshahara hazikutosha?
Unadhani leo ndio wanalipa mshahara?
Mshahara unaingizwa wiki moja mpaka mpaka mbili kabla ya siku ya mshahara.
Na siku ya mshahara kinachofanyika ni kubofya tu
THamani ya milion 500 miaka 20 iliyopita ni tofauti sana thaman ya kiasi hicho cha pesa leo hii. Jiulize pamoja na kushuka huko kwa thamani, watz wangapi wameweza ku afford ku make hiyo 500m tsh todate ?Wazee wa UTT wananichekeshaga Sana. Yaani wanashindwa kupiga jesabu ndogo Sana. Mtu anapigia mahesabu ya pesa atakayokuwa nayo 2035 kwa mahesabu ya Leo. Yaani mtu anashindwa kabisa kupiga mahesabu ya gharama ya maisha mwaka 2005 wakati mwalimu wa shule ya msingi alikuwa analipwa around 50,000 na anaendesha maisha na gharama ya maisha 2025 wakati mwalimu anakula around 600,000.
Kuna jamaa wa UTT nilimuambia kama uliweka 10m mwaka 2020 mwaka huu itakuwa na 16 au 17m. Sasa 2020 ist ilikuwa inauzwa 10m na 2025 hiyo 17m mpaka 18m ndiyo bei ya ileile ist. Kwahiyo umetunza pesa kwa miaka 5 ili upate kitu chenye thamani ileile.
Acha udikteta uchwaraMada za UTI sijui utt au atituri wekeni kwenye Uzi wake. Hapa ni tarehe za mishaaaaaaara
Mme wako ana taabu sana- Watumishi si mnakopa na mmasema mnafanya miradi/biashara, mbona sasa mnalia tarehe hii
😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣😭🤣🤣🤣🤣 Watu mnahasira sio kidogoMme wako ana taabu sana
Huku ukiwa umeweka notification kuona maendeleo ya uzi wetu 😄Watumwa wote wako humu hela ikisoma tu wanatelekeza uzi. Fanyeni biashara mtakufa na stress pimbi nyie.
Ndiyo but muda upite kidogoMkuu hivi plans zikiwa approved tu on the spot unakua eligible kuchukua loan?