Pumguza moto mkuuSalary slips zimetoka za July?
Bado hazijatokaSalary slips zimetoka za July?
Kazini HHR amesema Monday tunashushiwa majukumu. Nadhani tutarudi na e-loan officiallyMnataka kusema kwamba wote mmekopa wakati kazi hazijawa Approved? Kwamba hamna haja na Malipo ya mwezi? Sawa, Tutakuwepo.
Dah acha tu,Pumguza moto mkuu
GAME OVER mwenye uzi wake keshafika 🤣🤣🤣Salary slips zimetoka za July?
Juma nne/juma tanoGAME OVER mwenye uzi wake keshafika 🤣🤣🤣
J3 uhakika au? 😹GAME OVER mwenye uzi wake keshafika 🤣🤣🤣
22/23?Juma nne/juma tano
Nahisi nitatoboa unless emergency ijitokeze hapa katiJuma nne/juma tano
ESS imekorofishaSalary slips zimetoka za July?
Yap22/23?
Naziona daliliJuma nne/juma tano
J4J3 uhakika au? 😹
Wewe chapa business. Huko kwenye kazi za serikali hakuna hela.Kwa hiyo Kwa anayepata 900,000/- maana yake atapanda hadi 1,190,000/-?
Duh Bora niendelee na business
Nasikia mmeongezwa buku30Wewe chapa business. Huko kwenye kazi za serikali hakuna hela.
Inatosha kabisa.Nasikia mmeongezwa buku30
Faida kwenye hizo kilo tatu za nyama utakazonunuaInatosha kabisa.
Kilo 3 za nyama.
Wewe kwenye biashara yako umeongezewa ngapi?