Naomba niwe mgeni wako leo na kesho maana gari iko inasukumwa wese limekataSiyo mjumbe.
Mangi ananidai 180k nyingi hapo ni za biaSiku Yenu pendwa mpaka sisi kina Mangi -maduka tunafurahi ,dah jamani watumishi wa umma nyie ni waaminifu sana, sitaacha kuwapa vibubu vya unga na dagaa ,sasa nampango nifuate na kuku niwe nawakopesha
Karibu sana, maharage na dagaa bado vipo vipo🤣Naomba niwe mgeni wako leo na kesho maana gari iko inasukumwa wese limekata
Huyo keshakuwa ndugu sasaMangi ananidai 180k nyingi hapo ni za bia
Ntakuja jioni ile mida ya kuufinya na uweke upike ugali mkubwa mgumu maana mi mtu wa mara 😆😆Karibu sana, maharage na dagaa bado vipo vipo🤣
Kabisa. Inaonekana anapenda maana nikienda kuchukua kitu hajawahi hoji. Sema nikipata Huwa nalipa .Huyo keshakuwa ndugu sasa
Na take-home yako 345000/- unabaki na 165000Mangi ananidai 180k nyingi hapo ni za bia
Take home 1.7M. kaa Kwa kutuliaNa take-home yako 345000/- unabaki na 165000
Dagaa kwa afya boraKaribu sana, maharage na dagaa bado vipo vipo🤣
We kweli ni systemKwangu mie mshahara tyr napokea exim bank
Niamin mmWe kweli ni system
Wameongeza shingapi?Niamin mm
Wameongeza kiasi ila n kdg sn kwa mshahara wangu ujue mie sipo tamisemi ss siwez kuelezea sisi huku huwa tunaongezewa kila mwakaWameongeza shingapi?
😁😁Wameongeza kiasi ila n kdg sn kwa mshahara wangu ujue mie sipo tamisemi ss siwez kuelezea sisi huku huwa tunaongezewa kila mwaka