Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,698
- 8,998
Faida IPO mbona benki wananipa 50m na watanikata 98 jumla kuu. Mimi nikiweka 50 mahali na kupata 155 maana yake nimepata faida ya over 100... But siwezi hesabia niyopewa na benki plus riba
Mkuu inaitwa compounding interest...unaweza tumia ChartGPT Kujielimisha au nenda makao makuu ya UTT.Achana na hiO drama ,na wao wanapata vip faida.
Compound interest unajua inatokana na nn ? Compound interest ina compounded kwa kila mwaka . Sasa swali langu hizo pesa mpaka wanakupa interest wao wanafanyia nn?Mkuu inaitwa compounding interest...unaweza tumia ChartGPT Kujielimisha au nenda makao makuu ya UTT.
N.b. ukiweza kuweka laki Kila mwezi mpaka unastaafu unaweza kuvuna over 350m. Wakati huo wewe umeweka 36m Kwa muda huo wote
Anatokea rais mwenda wazimu anafuta hizo takataka zote na umekaa miaka 25 ,au nchi inaingia vitani sijui unamtafuta nani akulipe kila mtu kajifungiaOver long term utapata faida inakua saving scheme. Mfano anayeweza kusave 36m once ndani ya miaka 30 ya utumishi wake ATAKUA na 1B.
Think of it hata kungekua na inflation ya aina gani unavuna 1B Kwa milioni 36 tu.
Lakini hiyo 36 M uiweke Kwa mara moja. Wa biashara afanye Mimi nataka kustaafu kibabe sana.
Imagine siku unasubiri pension unakunjua 1 B.....
Nchi ikiingia kwenye vita wewe utakua unafanya kazi gani ya kukuingizia chochote wakati upo vitaniAnatokea rais mwenda wazimu anafuta hizo takataka zote na umekaa miaka 25 ,au nchi inaingia vitani sijui unamtafuta nani akulipe kila mtu kajifungia
Wao wana invest kwenye masoko makubwa ya pesa ambayo hayawezi kufikiwa na individuals Kwa sababu ya mtaji mdogo ndo maana inaitwa UWEKEZAJI WA PAMOJA.Compound interest unajua inatokana na nn ? Compound interest ina compounded kwa kila mwaka . Sasa swali langu hizo pesa mpaka wanakupa interest wao wanafanyia nn?
Compound interest mbona hata mtoto mdogo anajua .
Asipotokea? Yaani rais afute investment za watu zenye thamani ya 1.6 trillion?Anatokea rais mwenda wazimu anafuta hizo takataka zote na umekaa miaka 25 ,au nchi inaingia vitani sijui unamtafuta nani akulipe kila mtu kajifungia
Oya una maarifa mengi sana na yote yapo applicable ila kwa huyo jamaa utajichosha hii sio mara ya kwanza kumuona anapinga UTT kwa mtindo anaouonyeshaWao wana invest kwenye masoko makubwa ya pesa ambayo hayawezi kufikiwa na individuals Kwa sababu ya mtaji mdogo ndo maana inaitwa UWEKEZAJI WA PAMOJA.
Mfano wewe Leo ukienda crdb na milioni zako mbili fixed deposit utapewa 5 percent. Lakini akienda mtu mwenye billion mia ni negotiable, anaweza pewa 14/15.
Pia Wana invest kwenye gv bonds na share .
Kwenye share wao wanaweza kupata hadi 25 percent.
Kikubwa wao wataalam wa masoko.
Uwekezaji kwenye liquid fund, na bond fund una uhakika wa kupata 12%.
Exactly. Utaacha kuwekeza kuwaza vita kweli.Nchi ikiingia kwenye vita wewe utakua unafanya kazi gani ya kukuingizia chochote wakati upo vitani
Huyo Rais wa kufanya hivyo hayupo
Hata jiwe mwenyewe alishindwa kugusa hiyo UTT kwamba kichaa gani mwingine.
Hilo ndiyo jibu.Wao wana invest kwenye masoko makubwa ya pesa ambayo hayawezi kufikiwa na individuals Kwa sababu ya mtaji mdogo ndo maana inaitwa UWEKEZAJI WA PAMOJA.
Mfano wewe Leo ukienda crdb na milioni zako mbili fixed deposit utapewa 5 percent. Lakini akienda mtu mwenye billion mia ni negotiable, anaweza pewa 14/15.
Pia Wana invest kwenye gv bonds na share .
Kwenye share wao wanaweza kupata hadi 25 percent.
Kikubwa wao wataalam wa masoko.
Uwekezaji kwenye liquid fund, na bond fund una uhakika wa kupata 12%.
Anataka hela zote tuwe tunakula kisa hujui kesho yakoAsipotokea? Yaani rais afute investment za watu zenye thamani ya 1.6 trillion?
Anyway mimi nimefikisha ujumbe Kuna mtu anaweza jifunza zaidi. Tusiogope , mbona tuna invest wakati Kuna possibility ya kufa kesho! Yaani uache kuwekeza kisa hofu ya VITA na kupata RAIS kichaaa!!!!
Mzee hiyo 50 ukiamua kuiacha Sasa hata baada ya mkopo kuisha umetusha. Mimi nilipiga hesabu ya 36 m , mpakanastaafu naweza Toka na 1b.Oya una maarifa mengi sana na yote yapo applicable ila kwa huyo jamaa utajichosha hii sio mara ya kwanza kumuona anapinga UTT kwa mtindo anaouonyesha
Me sipo mbali na wewe nimejipa hesabu zangu nivute mkopo natupia 50m miaka kwa miaka 10 huku nyongeza kama 300,000 kila mwezi ndani ya huo muda miaka 5 tu nitakua nimeweza kurudisha hadi nachodaiwa miaka 10 ni namba nyingine
Hapo Mungu kukupa uzima wa kazi bado una miaka 20
Ishu sijui inakuwaje lakini kama una uvumilivu utakuja kustaafu kwa,heshima sana bila kuwaza mambo ya kikotoo na takataka zakeMzee hiyo 50 ukiamua kuiacha Sasa hata baada ya mkopo kuisha umetusha. Mimi nilipiga hesabu ya 36 m , mpakanastaafu naweza Toka na 1b.
Ila sasa kwa miaka hiyo ijayo hiyo 1 B yawezakuwa na thamani ndogo kuliko ilivyo sasa hivi.Mzee hiyo 50 ukiamua kuiacha Sasa hata baada ya mkopo kuisha umetusha. Mimi nilipiga hesabu ya 36 m , mpakanastaafu naweza Toka na 1b.
Mh...karibu mjiniWazee juzi kati nilienda seminar Fulani ya investment, hasa mambo ya UTT na hisa.
Nimepata madini ambayo nilichelewa kuyajua.
Kama unaweza kukopa kopa pesa zote kaweke kwenye liquid fund ya UTT Kwa muda wa miaka uliyokopea. Mfano ukikopa miaka kumi, hakikisha kiasi chote unakiweka huko na ku-reinvest riba.
Kwa mkopo wa say milioni 50. Kwa miaka kumi utapata 155M. Kule benki utakatwa kama 98M.
Kwahiyo inaweza kuwa kama bei gani hivi mkuuIla sasa kwa miaka hiyo ijayo hiyo 1 B yawezakuwa na thamani ndogo kuliko ilivyo sasa hivi.
Piga mahesabu. Je, milioni moja ya ya mwaka 1995 ni sawa na milioni moja ya mwaka 2025
Umesahau kuwa hiyo IST uliyo point 2020 kila mwaka inazidi kupigwa hela ya uchakavuWazee wa UTT wananichekeshaga Sana. Yaani wanashindwa kupiga jesabu ndogo Sana. Mtu anapigia mahesabu ya pesa atakayokuwa nayo 2035 kwa mahesabu ya Leo. Yaani mtu anashindwa kabisa kupiga mahesabu ya gharama ya maisha mwaka 2005 wakati mwalimu wa shule ya msingi alikuwa analipwa around 50,000 na anaendesha maisha na gharama ya maisha 2025 wakati mwalimu anakula around 600,000.
Kuna jamaa wa UTT nilimuambia kama uliweka 10m mwaka 2020 mwaka huu itakuwa na 16 au 17m. Sasa 2020 ist ilikuwa inauzwa 10m na 2025 hiyo 17m mpaka 18m ndiyo bei ya ileile ist. Kwahiyo umetunza pesa kwa miaka 5 ili upate kitu chenye thamani ileile.