Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kwahiyo inaweza kuwa kama bei gani hivi mkuu
Kumbuka uliweka 36m tu na bila nguvu ya ziada unapata 1B
Haya mambo yanataka namba mkuu sio hisia

Kwa mujibu wa mwana Jamiiforum mwenzetu hapa

Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966

1995 - 1USD: 500 TZS
2023- 1USD =2487 TZS

Ndani ya miaka 28 thamani ya dola imepanda mara 5 kutoka pale ilipokuwa mwaka 1995 ambao wewe umeutaja
Maana yake 1 million mwaka 1995 kwa sasa anakua na 5m na point zake

Tukibaki kwa rate hii hii million 36m ya leo itakua kama 150m kwa miaka 30 wakati huo huo ukiweka UTT inakua 1B

Kwahiyo inaweza kuwa kama bei gani hivi mkuu
Kumbuka uliweka 36m tu na bila nguvu ya ziada unapata 1B
Haya mambo yanataka namba mkuu sio hisia

Kwa mujibu wa mwana Jamiiforum mwenzetu hapa

Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966

1995 - 1USD: 500 TZS
2023- 1USD =2487 TZS

Ndani ya miaka 28 thamani ya dola imepanda mara 5 kutoka pale ilipokuwa mwaka 1995 ambao wewe umeutaja
Maana yake 1 million mwaka 1995 kwa sasa anakua na 5m na point zake

Tukibaki kwa rate hii hii million 36m ya leo itakua kama 150m kwa miaka 30 wakati huo huo ukiweka UTT inakua 1B.
Shukrani kwa majibu! Kwa mahesabu hayo inalipa kuwekeza huko.
 
Mnaharibu uzi wetu nyie ,uzi huu ni maalum kwa tarehe za kuhaha kama bata kameza kaa la moto, tarehe za mfalme tembele na chinese tarehe ambazo ukiona mashine ya ATM unashikwa hasira mana salio empty,

Nyie mnaokuja na mambo sijui ya uwekezaji mnaharibu uzi wetu kafungueni wenu huu ni wa mshahara
 
Yani hivyo vyote unafananisha na UTT wewe bora uendelee kutokuwa msomi
Yaani!!!! UTT ni co. ya serikali hii kitu haitaki kuwaingia watu kichwani, na IPO regulated na CMSA pia ipo listed DSE.

Anyway mi nafikiri hii ni scheme nzuri Kwa sisi wavivu. Mimi nitakopa niwekeze huko na sintaichukua mpaka five years before I retire....

If I die Bado ni urithi Kwa watoto wangu
 
Fanya maamuzi magumu mkuu mimi namalizana na mambo madogo

Wengine biashara hata ndogo zilitushinda na hatuwezi kukaa kusubiri mshahara

Hiyo unaweka hata ukifa leo watu wanabaki na kitu ikitokea wameendeleza sawa wakitumia vibaya huna deni wewe kama baba Umemaliza ya kwako.
 
Mkuu usifananishe utt na hizo pyramid schemes
Samahani naomba mirekebishe kauli. Sifananishi hizo pyramid scheme na utt kwa maana ya thamani zake na operation zake.

Ila zinafanana kwa jinsi zilivyochukuliwa kwa MIHEMKO NA WASOMI. Unapoona mtu amepewa elimu ya utt, then anaenda kukopa pesa ili aweke utt hapo anakuwa amepata mihemko kama hao watu wa hizo pyramid scheme.

Kazi kubwa ya utt ni mtu ambaye anataka kuitunza pesa yake ambayo hana cha kufanyia, siyo mzoefu wa biashara, anataka kuitumia hiyo pesa miaka ijayo akostaafu. Hivyo kuliko kuweka benki ambako thamani ya Ile pesa haitalindwa ni Bora apeleke utt ambako thamani ya pesa italindwa kwa miaka mingi ijayo.

Utt ni sehemu ya kuitunza thamani ya pesa siyo kuongeza pesa.
 
Nakubaliana na hiyo analysis.

Hata hivyo Mimi nitakopa mkopo wa muda mrefu niiweke humo. Mengine nitajua mbele.
 
Back
Top Bottom