Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,404
- 103,885
Hazina waache masihara na mshahara aisee..Hauko peke Yako tuko wengi
Hazina waache masihara na mshahara aisee..Hauko peke Yako tuko wengi
KabisaaHazina waache masihara na mshahara aisee..
🤣🤣🤣🤣Leo gesi imekata
🤣🤣🤣🤣🤣Mi jana niliishi kwa elfu 2 mia 6 siku nzuma afu fresh tu.
Nina uhakika kwenye huu uzi hakuna maofisa wa tra,ewura,latra, tanroads,tanapa, ngorongoro,tpdc,tasac
Na ham ya kuona imeongezeka shngp buku au jeroHazina waache masihara na mshahara aisee..
Naomba nikaribishe na Mimi nitakuja na nyanya na vitunguu vya kachumbariNjoo kwangu hizi siku mbili, kuna unga tu mboga zilishaisha, kula ugali na chumvi utashindwa??
Mgeni wa maana kabisa wewe 😁 karibu sanaNaomba nikaribishe na Mimi nitakuja na nyanya na vitunguu vya kachumbari
Wote ndio wale waleWewe mwenye pesa unafata nini ktk huu uzi 😂
Hapana mzigo utakua mkubwa mkubwa kdg.. Angalau nyama kilo 2Na ham ya kuona imeongezeka shngp buku au jero
Unawaza kusafiri kaka, sisi tunawaza kula man.Mbona hela leo sina kabisa asee nitasafiri kwelii
Competition imekua serious eehMgeni wa maana kabisa wewe 😁 karibu sana
Watu washachota mkopo fasta😂Mpaka sasa wengine makato bado huo mshahara mnaousubiri mnaupata wapi?
Na kumbukeni Hii July mambo ya mwaka wa fedha mpya?
Leo zamu yangu umeme. Sirudi home.Leo gesi imekata
Ukirudi kesho hatukufungulii 😄Leo zamu yangu umeme. Sirudi home.
Leo wafanye maajabu ase hali teteUnawaza kusafiri kaka, sisi tunawaza kula man.