Mbona mapema sana boss😅😅Ni muda sasa wa kuufanyia usafi uzi pendwa
Unafutwa futwa vumbiNani kafukua uzi mapema hivi
Hahahhaah, sisi watumishi tunafurahisha sana utakuta mtu yupo Uzi huu wa mshahara akishapata mshahara anahamia Uzi wa vibali vya uhamisho ili ahamie kwenye Maokoto zaidi😁 yaan ni vurugu tupuUnafutwa futwa vumbi
Sasa mfano tamisemi hakunaga pesa mzee wa kazi lazima raia waache ndalaHahahhaah, sisi watumishi tunafurahisha sana utakuta mtu yupo Uzi huu wa mshahara akishapata mshahara anahamia Uzi wa vibali vya uhamisho ili ahamie kwenye Maokoto zaidi😁 yaan ni vurugu tupu.
Nakubali, watu wanapambana wasepe LGA'sSasa mfano tamisemi hakunaga pesa mzee wa kazi lazima raia waache ndala
Kikubwa nielekeze namna ya kukopa halotelMbona mapema sana boss😅😅
Labda vocha😃Kikubwa nielekeze namna ya kukopa halotel
Kikubwa nielekeze namna ya kukopa halotel
wajeda washafufua uzi baada ya kula posho ya chakula jana na juziMbona mmefukua mapema sana? 😀
Hela ganiKesho uhakika
😀mambo mapema hii wiki ijumaa tu