Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 13,108
- 12,126
Tupo Mbekenyera huku, Wiki yetu ya mshahara hii.Mpo Dodoma ?
Tupo Mbekenyera huku, Wiki yetu ya mshahara hii.Mpo Dodoma ?
Yaani mi mtu anishauri cha kufanya na jasho langu?Mada za UTI sijui utt au atituri wekeni kwenye Uzi wake. Hapa ni tarehe za mishaaaaaaara
THamani ya milion 500 miaka 20 iliyopita ni tofauti sana thaman ya kiasi hicho cha pesa leo hii. Jiulize pamoja na kushuka huko kwa thamani, watz wangapi wameweza ku afford ku make hiyo 500m tsh todate ? point
labda ya bonyokwaNmb mambo safi
Bad lucky No nyongeza
Ushauri sio shurti bwasheYaani mi mtu anishauri cha kufanya na jasho langu?
Mimi nina uhakika wapo ila hawachangii chochote.Nina uhakika kwenye huu uzi hakuna maofisa wa tra,ewura,latra, tanroads,tanapa, ngorongoro,tpdc,tasac
150,000Na ham ya kuona imeongezeka shngp buku au jero
MhhNaona makato kwenye ESS yameshasoma, mzigo unaingia soon
Ongezeko la kukopea linaonekana ila hizo milioni nazoweza kukopa ndio za uongo 🤣🤣🤣🤣Vipi ongezeko ulishaliona mkuu
Mi huku inasoma 307m 😄
Unajiuliza hawa ESS wapo sawa kweli?
Bila shakaMkuu hivi plans zikiwa approved tu on the spot unakua eligible kuchukua loan?
Yeah ,jamaa usipoweka plans wanajua hauendelei na utumishi.Mkuu hivi plans zikiwa approved tu on the spot unakua eligible kuchukua loan?
Muda upite kidogo kwa maana gani?Ndiyo but muda upite kidogo
Swali zuri sanaMuda upite kidogo kwa maana gani?
Ni leo leo mkuu na utaangalia utaona uko eligibleMuda upite kidogo kwa maana gani?
Ni suala la muda tuNaona makato kwenye ESS yameshasoma, mzigo unaingia soon
Au sio!!Njoo uchukue laki
Siyo mjumbe.We siyo mjumbe mpiga kura? Maana ndo wenye pesa sasa hivi